18+ : Nimeshangaa sana. Hii mpya kwangu... Hivi ni tamu kiasi hicho?

Inasikitisha sana. Tuwakatae watu wa hivi kabisa. Wanakera kinyama.
Wanaharibu vijana wetu wadogo walio under 20, kwa kuwafanya waanze kuzisaka mbususu popote na Kwa gharama yoyote, wakikosa wanageukia kupiga puñyeto kwa hali na mali ili kutimiza haja zao.

Nakumbuka hawa watu ndo wale wale walioleta Uzi usemao 'picha za warembo wakali world wide', Uzi ule ulihamasisha puñyeto cha kufa na kupona miongoni mwa vijana na watu wazima wasioweza kuhimili hisia zao.
 
Waislamu mpo moto sana, naona hizi mada mliziweka kiporo 🔥
 
Kabisa upo sahihi kwasababu mtu ambaye Yuko busy hawezi kuwaza ujinga Kama wa kwako hivi unapataje muda wa kutunga story mnaweka humu mnapataga faida gani?
Hawezi kabisa. Kwani hata walio busy watapata muda wa kusoma? Hawapati wanakuwa majukwaa ya uchumi, tender na kazi. Huku wapo wanaosoma wa aina kama ya mwandishi. Mi nakuunga mkono kabisa.
 
JF The Home of Grit Sinkers.
 
mchana kweupee watu mnaweka fantasies zenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…