Huku Finance Bill 2026 ikipitishwa Bungeni, mjadala mkubwa umeibuka baada ya kubainika kuwa zaidi ya nusu ya wabunge hawakushiriki kura muhimu iliyogusa ushuru na matumizi ya fedha za umma.
Kati ya wabunge 349 wa National Assembly, ni 162 pekee walioshiriki kupiga kura. Wabunge 122 waliunga mkono mswada huo huku 40 wakipinga. Hata hivyo, wabunge 187 hawakupiga kura kabisa, hali iliyowaacha Wakenya wengi wakijiuliza: Where were they?
Finance Bill 2026 imepitishwa baada ya baadhi ya mapendekezo tata ya ushuru kuondolewa, hatua iliyolenga kupunguza mzigo kwa wananchi baada ya maandamano makubwa yaliyoshuhudiwa mwaka 2024.
Lakini kile kilichovutia zaidi ni kiwango kikubwa cha absenteeism. Critics wanasema kutohudhuria kikao kama hiki ni sawa na kukwepa accountability, hasa wakati wananchi wanatarajia viongozi wao kuchukua msimamo wazi kuhusu masuala yanayogusa maisha yao ya kila siku.
Mitandaoni, Wakenya wengi wameonyesha hasira zao, wakisema wabunge waliokosa kura hiyo walikuwa wanajaribu "kucheza safe" ili wasihusishwe moja kwa moja na matokeo ya mswada huo.
Wengine sasa wanahoji kama Kenya inahitaji idadi kubwa ya wabunge ilhali maamuzi muhimu yanafanywa na chini ya nusu ya House. Mjadala kuhusu kupunguza idadi ya wawakilishi wa wananchi umeibuka tena kwa nguvu.
Je, kutokuwepo kwa wabunge 187 ilikuwa bahati mbaya, shughuli nyingine za kikazi, ama ilikuwa political strategy ya kukwepa lawama kutoka kwa wapiga kura? Hilo ndilo swali ambalo Wakenya wengi bado wanatafuta jibu lake.
Source: The Star