sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Najua vizuri sana hapo ni sawa na kusubiri yesu ashuke mwaka huuHuwezi jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua vizuri sana hapo ni sawa na kusubiri yesu ashuke mwaka huuHuwezi jua
Nini sifa ya kuwa mwanamke bora!?Yeah swali liko moto hili
Any way mimi ni mwanamke ambaye nina kila sifa na kustahili kuitwa mwanamke bora....
1. Sijawahi kufanya mapenzi,Thibitisha kidogo ubora wako
DJ sepetu
Aisee ni ndoto kubwa sana hii1. Sijawahi kufanya mapenzi,
2. Nimebahatika kufanya biashara kadhaa kubwa kubwa,
3. Nina mpango wa kufungua studio kubwa nchini Tanzania na afrika mashariki yenye ubora na kila ala ya muziki pamoja na vyombo vya muziki.
4. Nina mpango wa kufanya project na studio ya COKE STUDIO ya kenya, ROCK - A - FELLA STUDIO ya jay z, STAR BOY RECORDS ya ibrahim balogoun a. K. a wiz kidayo pamoja na LEGENDARY BEATS nigeria, DJ MUSTARD ON THE BEAT marekani, endapo mipango ikienda sawa maana nahitajika kuandaa pesa ndefu.
5. pia nina mpango wa kuanzisha foundation kusaidia watu mbali mbali katika kipindi hiki kigumu cha mheshimiwa JPM.
Kujua mpaka watu wakuambie siku zote huwezi kusema mwenyewe ya kwamba ni mzuri au umependeza ni mtu mwingine ndiye anaweza kukufahamisha yote hayo.
Ahsante bosi wangu nimefika tayari.
Umesema hujawahi Fanya mapenzi umewezaje kuhimili kero za wanaume!!Kujua mpaka watu wakuambie siku zote huwezi kusema mwenyewe ya kwamba ni mzuri au umependeza ni mtu mwingine ndiye anaweza kukufahamisha yote hayo.
Kwanza ni kupata support kutoka kwa watu wengine na pia kupata connection na watu mbali mbali, nakumbuka mwaka 2013 nilipata nafasi ya kufanya mafunzo na producer nahreel wa the industry, lakini nikajifunza mengi mno ingawa sio yote asilimia kubwa rapa joh makini alikuwa anasaidia kurekebisha baadhi ya biti / beatAisee ni ndoto kubwa sana hii
Nini kinakutofautisha Na wanawake wengine!
Upekee wako ni nn hasa
DJ sepetu
What song best describe youKwanza ni kupata support kutoka kwa watu wengine na pia kupata connection na watu mbali mbali, nakumbuka mwaka 2013 nilipata nafasi ya kufanya mafunzo na producer nahreel wa the industry, lakini nikajifunza mengi mno ingawa sio yote asilimia kubwa rapa joh makini alikuwa anasaidia kurekebisha baadhi ya biti / beat
Pia kujituma, kujiamini, kutomuangalia mwingine, ni bora ukawa mwenyewe kwa muda na ukafanya connection na watu wachache wenye nguvu ya kukusapoti sehemu mmoja hadi nyingine,
Kutegemea mtu kwa muda mrefu pia haitakiwi.
Nimeangalia avatar, alafu nikarudisha macho kwenye hiyo namba moja, Mara usingizi wa ghafla ukanipitia nikasikia sauti ikisema "Nleterewa huyu ndiye ubavu wako niliokuchagulia" naona itakua naota.1. Sijawahi kufanya mapenzi,
2. Nimebahatika kufanya biashara kadhaa kubwa kubwa,
3. Nina mpango wa kufungua studio kubwa nchini Tanzania na afrika mashariki yenye ubora na kila ala ya muziki pamoja na vyombo vya muziki.
4. Nina mpango wa kufanya project na studio ya COKE STUDIO ya kenya, ROCK - A - FELLA STUDIO ya jay z, STAR BOY RECORDS ya ibrahim balogoun a. K. a wiz kidayo pamoja na LEGENDARY BEATS nigeria, DJ MUSTARD ON THE BEAT marekani, endapo mipango ikienda sawa maana nahitajika kuandaa pesa ndefu.
5. pia nina mpango wa kuanzisha foundation kusaidia watu mbali mbali katika kipindi hiki kigumu cha mheshimiwa JPM.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umesema hujawahi Fanya mapenzi umewezaje kuhimili kero za wanaume!!
Au hutongozwi
DJ sepetu
Nimekupenda bure kwa kutofanya mapenzi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Your question is so funny.
Kumiliki kero hii kwa nchi za ulaya ni rahisi ila kwa afrika bado ni changamoto kubwa jinsia ya kike,
Kero hii huwa hainisumbui kivile lakini huwa inatokea
Nini hukufanya kuwatenga hivyo watoto Wa wanawake wenzio[emoji23] [emoji23] du mpaka sasa bila bila![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Your question is so funny.
Kumiliki kero hii kwa nchi za ulaya ni rahisi ila kwa afrika bado ni changamoto kubwa jinsia ya kike,
Kero hii huwa hainisumbui kivile lakini huwa inatokea
[emoji1] [emoji1] [emoji1]What song best describe you
DJ sepetu
[emoji2] [emoji2] sawa endelea kufocus.Nimeangalia avatar, alafu nikarudisha macho kwenye hiyo namba moja, Mara usingizi wa ghafla ukanipitia nikasikia sauti ikisema "Nleterewa huyu ndiye ubavu wako niliokuchagulia" naona itakua naota.
[emoji122] [emoji122] kwann unapenda music hivyo![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseee ngoja nikupe siri,
Nikiwa elementary school nilipenda sana kujua kuimba nyimbo za hip hop lakini nikaambiwa nijitahidi kidogo kidogo ingawa sikuweza nikahamia upande wa rnb bado sikuweza ila nilipo ingia studio ya kwanza ya marylin methods studio bado sikuweza kuimba nikawa nimepoteza hela ya kurekodi ila producer aliniambia nijaribu kufanya instrument mwenyewe hatimaye nikaweza kutengeneza beat kali ila mixed song beat, hapo ndipo nilipo anza kuweka focus katika muziki,
Pia bado sijaweza kivile ila nina mpango nikae na COKE STUDIO nifanye kitu kikubwa zaidi huenda nikatoa SEDUCE ME REMIX na mr. Ali kiba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
Wanawake kwa wanawake siku zote hawapendani, wanafiki, na wambea ni bora uwe na marafiki wa kiume hata 200 lakini watakupa support na go ahead...Nini hukufanya kuwatenga hivyo watoto Wa wanawake wenzio[emoji23] [emoji23] du mpaka sasa bila bila!
DJ sepetu