19 records studio live on muosha rungu TV show

19 records studio live on muosha rungu TV show

DJ anamfanyia interview PRODUCER.
Unfortunately, producer hajawahi kushika 'rungu'. Je, dj atafanikiwa 'kuosha'? Santakarawe..

-Kaveli-
 
Mkuu studio nipe contact za mawakala wa Freemasson
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
Bosi tatizo sio namba tatizo ni juhudi zako, lakini ili uwe mwanachama wa illuminati ni lazima utambue yafuatayo na uwe na sifa nayo.

1. Umri wako kuanzia 21 - kuendelea...

2. Uwe na kazi

3. Uwe unatunza siri.

4. Uwe unajituma, kufanya juhudi za kila namna.

5. Utoe kafara baada ya miaka 3, 5 au 7

6. Usizae watoto mpaka umri wa miaka 30

7. Uwe mwaminifu

8. Ujue sala ya illuminati kwa ajili ya kuomba Mungu wao.

9. Usaidie watu mbali mbali na kuwapa msaada mikubwa.

10. Ukifa lazima uende jehanamu moja kwa moja bila kipingamizi chochote kwa sababu umeweka mkataba na mungu wa illuminati, BAPHOMET.

Karibu sana bosi wangu, tujumuike pamoja.
 
Sawasawa[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
What is your best childhood memory

DJ sepetu
[emoji1] [emoji1] [emoji2]
Kupewa gari aina ya Cadillac escalade kama birthday.

Kupewa pesa dola 25

Kumtukana mwalimu wangu alipotaka kuniadhibu kwa kunipa likizo ya wiki nzima.

Kuiba hereni za rose gold za binamu yangu.

Kuvuta sigara aina ya havana cigar.
 
Aisee nimeipenda hiyo ya kupewa gari
Ulikuwa unajua Ku drive! I hope!
Lini Na nyakati gani hutoisahau maishani

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom