sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Mzee mwenzangu mbona umenivua nguo?Muonee huruma[emoji23] [emoji23] chaputa amechoka
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mwenzangu mbona umenivua nguo?Muonee huruma[emoji23] [emoji23] chaputa amechoka
DJ sepetu
[emoji2] [emoji1] [emoji1]Nimeridhia tuende wote lakn ucje kunitoa kafara tu
Tunaenda tu Hamna shida[emoji2] [emoji1] [emoji1]
Kweli maisha magumu yaani unataka twende wote kuzimu...
Kwa hiyo hata u-slid wako hautaguswa mpaka ufariki?Ndoa kwangu ni suala gumu, nitabaki kama nilivyo mpaka kifo changu.
ili mjasiriamali atoke kimaisha kwa nchi ya Tanzania, anahitaji kuwa na mambo kadhaa...Nini mjasiriamali Wa Tanzania ananitaji ili kutoka
DJ sepetu
Nn vijana Wa Tanzania wanakosa watu wana degree wako mtaani tuili mjasiriamali atoke kimaisha kwa nchi ya Tanzania, anahitaji kuwa na mambo kadhaa...
* awe mbunifu katika bidhaa yake.
* awe anajua soko la bidhaa yake inapouzwa na kununua.
* awe na matumizi mazuri ya kifedha.
* anahitaji support kutoka kwenye sekta binafsi au serikali.
* awe na umakini wa kujua biashara yake kwa undani.
* asifanye kazi kwa mazoea bali kujituma na kuipenda siku zote.
* asikate tamaa
[emoji26] [emoji26]Kwa hiyo hata u-slid wako hautaguswa mpaka ufariki?
Je, ni masharti yako ya ki-illuminati?
Ni siri nzito mno yenye maelezo ya Masafa marefu katika bonde na milima mito na bahari n.kNoo! Don't say that
Why
DJ sepetu
Watu wengi hufikiri mtaji wa biashara ndiyo tatizo lakini si kweli.Nn vijana Wa Tanzania wanakosa watu wana degree wako mtaani tu
DJ sepetu
Ungekuwa rais Wa Tanzania ungefanya nn cha kukumbukwaWatu wengi hufikiri mtaji wa biashara ndiyo tatizo lakini si kweli.
Kijana wa kitanzania hajapewa uzoefu wa kufanya jambo / kazi husika, mazingira yake aliyokulia si mazuri na pia kupata support ni ngumu sana, lakini vijana wa tanzania si wote wanaweza kusaidiwa wengine ni hasara tu,
Maadili , mazingira, mafunzo , ni kitu ambacho kijana wa kileo wa kitanzania amekosa.
Lazima wajifunze jambo fulani kwa maisha yao ya baadaye.
Mjane mwenye fedha taslimu laki 3 na fedha halali ya kitanzania, anaweza kuifanyia kitu kikubwa lakini lazima aanza kidogo kidogo na kwa umakini wa hali ya juu,Mshauri mjane mwenye laki tatu asiye Na kitu kingine chochote!
DJ sepetu
Tabia ipi ya binadamu unaichukia sana!Mjane mwenye fedha taslimu laki 3 na fedha halali ya kitanzania, anaweza kuifanyia kitu kikubwa lakini lazima aanza kidogo kidogo na kwa umakini wa hali ya juu,
* anaweza akaanza kufanya biashara kupitia mtandaoni ya ubadilishaji wa fedha za kigeni kwa kuuza na kununua ambayo inafahamika kwa jina la FOREX TRADE,
* anaweza kuanza na mtaji wa kumiliki kuku wa mayai au kuku wa nyama na hatimaye akafanikiwa.
* anaweza kulima kilimo cha pili pili au bamia ambacho kitamtoa endapo atavuna vizuri.
* anaweza kuuza bidhaa za reja reja kwa kiasi kidogo kwa huo mtaji wa laki 3.
* anaweza kununua cherehani na kuanza kushona na hatimaye afanikiwa zaidi mbeleni endapo akiwa juhudi katika kazi yake.
[emoji1] [emoji1] [emoji2]19 records studio haikuwa FLOP clouds tv series?
It is A question.....have u heard about it before? 19 record series or something like that?[emoji1] [emoji1] [emoji2]
How sure you are .... ??