19 records studio live on muosha rungu TV show

Ungekuwa rais Wa Tanzania ungefanya nn cha kukumbukwa

DJ sepetu
Kwanza ningefanya vitu vingi.

* kusupport wakulima wa zao tofauti tofauti.

* kujenga viwanda baadhi kwa mahitaji yanayo patikana nchini, mfano kiwanda cha kinywaji aina ya juisi za matunda ya asili kama parachichi, embe, n.k pia kutengeneza mayai ya jamii ya ndege kama kuku, mbuni, n.k

* kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa, na kuwa na usafiri wa uhakika

* kuifanya elimu ya Tanzania iwe bora zaidi afrika.

* kuanzisha foundations ya kusaidia wazee , yatima , wajane , watoto wasijiweza, na walemavu,

* kuwajali zaidi wanawake maana wamekuwa wakionewa na mila na desturi za makabila.

* kumtengenezea mazingira mazuri kila mtanzania awe anapata pesa, chakula, malazi, na nguo kwa bei nafuu.

* kutengeneza viwanda vya vitu kadhaa kama nguo, uuandaaji wa madini na kuuza soko la nje, uchenjuaji makinikia.

* shule za serikali ziwe na usafiri wa kuwarudisha watoto nyumbani, vifaa vya masomo, michezo, kutambua vipaji vya watoto ungali wadogo.

* kukomesha rushwa na matabaka tawala hususani waarabu na wahindi wa Tanzania.

* umoja na mshikamano kwa watanzania wote,

* huduma za maji, chakula, dawa za hospitali, vifaa, viwe vinapatikana kwa urahisi.

* kupunguza wanawake kujiuuza na watoto wakiume kuwa mashoga kupinga na kupiga vita mapenzi kinyume na maumbile kwa kila jinsia.

* ikitokea malaya wanajiuza watakuwa wanasajiliwa na kampuni na baadaye hulipwa mishahara kama wafanya kazi wengine kila mwisho wa mwezi.

* kuikuza vyema lugha ya Taifa ya kiswahili.

* kuipa michezo kipaumbele,

* gharama za maisha kuwa nafuu ili kila mtanzania aweze kuimudu.

* kuipa kipaumbele sanaa hususani muziki.

* kutunza mazingira kwani ni fahari ya ardhi ya Tanzania.

* kuboresha usafiri wa Tanzania, magari, meli , n.k

* kuboresha vitutio vya utalii na kuwa imara zaidi.

* kuboresha sekta ya biashara

* magereza za Tanzania yasiwe kama banda la kuku inabidi iboreshwe na ulinzi imara mfano, kuweka mazingira safi, wafungwa kukutana wake / mademu wao/ waume zao, wafanye mazoezi, wafungwa wale vizuri na muda wa kupumzika pia.

* kukomesha utumwa hasa kimila na makabila mfano, kumkeketa msichana,

* Tanzania iwe taifa bora kila pande za dunia....

Yote yanawezekana ni umoja wetu na mshikamano.
 
That's great!
Role model wako ni nani

DJ sepetu
 
It is A question.....have u heard about it before? 19 record series or something like that?
It's seem like the same things but it's different thing.

19 records studio ni jina la studio ambayo naendelea kuipika....[emoji2] [emoji1] [emoji1]
 
Wewe sio mtu wake[emoji23] [emoji23] maana illuminant

DJ sepetu
[emoji2] [emoji1] [emoji1]
Watu wana shindwa kuelewa bado.

Kuwa mwanachama au mwanajumuiya ya Freemason au illuminati sio kwamba hutakiwi kumuamini Mungu, hapana Mungu wa kweli yupo na anafanya maajabu yake, hizi Mali ni dhiki na tamaa tu wala usibabaike walioingia huku wamejitolea kafara na wao kwenda motoni, ila muda wa kubadilika upo tena mkubwa sana.
 
Fomu ulichukulia wapi Na vipi ulijiunga nao!?ulijipeleka au ulishawishiwa?

Boxi hiyo ni siri yangu siwezi itoa kamwe.

Lakini kumpata wakala ni muhimu sana, ( broker )

* Viongozi wa siasa wapo,

* Wanamuziki wapo,

* Watangazaji wa TV wapo,

* Wacheza mpira hapa bongo wapo,

* wafanya biashara wapo,

* wamiliki wa shule kubwa hapa bongo wapo,

* wamiliki mabasi ya mkoa wapo hizi ajali ni kafara tu.

* televisheni moja bongo nao wamejiunga,

*kampuni kubwa hapa bongo ya maji ya kunywa naye yumo tena mwarabu,

Wapo watanzania kama milioni na kitu hivi mpaka unashangaa yaani hao watu kama nawaona hivi kina wema, kina lulu,

Ngoja niichie hapo. [emoji87]
 
Aisee mama yangu!![emoji24] [emoji24] ngoja tuishie hapa tulale tutaendelea kesho
Inshallah
Good night

[emoji1] [emoji1] [emoji2]

Njoo ujionee mwenyewe watu walivyo yaani ukiwaona hutawaamini ila watanzania tuache uoga hamuoni zarina hassani a.k.a zari amemtoa kafara mama yake mzazi sasa hivi anakula bata tu wanachuma hela tu wachuma tu helaaa kiulaini.....

Ngoja nipambane na studio yangu....

Usiku huu uwe mwema kwenu wana jamii forum,
 
Kafara mama mzazi never!!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom