She is HOT....!Mkuu ni yeye[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
she is too young for me.Omba uanachama yuko single[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Kichekesho[emoji1] [emoji1] [emoji2]
Kupewa gari aina ya Cadillac escalade kama birthday.
Kupewa pesa dola 25
Kumtukana mwalimu wangu alipotaka kuniadhibu kwa kunipa likizo ya wiki nzima.
Kuiba hereni za rose gold za binamu yangu.
Kuvuta sigara aina ya havana cigar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sitoki jf labda wanipeleke ununioNimeangalia avatar, alafu nikarudisha macho kwenye hiyo namba moja, Mara usingizi wa ghafla ukanipitia nikasikia sauti ikisema "Nleterewa huyu ndiye ubavu wako niliokuchagulia" naona itakua naota.
kwan akikuquote hutaona au UNAPENDA LIKES tu???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe unalike post yangu ili nione faster
DJ sepetu
kumbe mkuuLikes zinakuja haraka zaidi
DJ sepetu
[emoji3][emoji3] inakuwa poa mkuuUnajisikiaje mkuu ukipata ka like ka kike[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu