1970s kila Nyumba ilipewa Pipa la kutupia takataka na Gari lilipita kila Siku Bure. Siku hizi kuzoa taka ni SIASA tena Biashara!

1970s kila Nyumba ilipewa Pipa la kutupia takataka na Gari lilipita kila Siku Bure. Siku hizi kuzoa taka ni SIASA tena Biashara!

Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana ila Ujamaa ulikuwa na Faida zake

Mtu kama Lucas Mwashambwa angekuwa Dereva wa Trekta la Kijiji na kama angesogea hapa Mjini basi City Council wangemuajiri pale DSSD

Lakini zama hizi hawa Vijana wadogo wanapotelea Kwenye Uchawa na Kamari

Inasikitisha sana 🐼
Huyo chawa luka amepewa ajira ya muda kuandikisha wapiga kura basi anapandisha mabega anaona maisha ameyapatia
 
Chawa Toka ukose uteuzi vikao vya Dodoma halafu ukatoka pale na wale maadui wa ARV naona umeleave group. Nashukuru Trump amezuia ARV maana kama vikao vya juzi Dodoma mmeambukizana sana na UTEUZI KAPEWA MZEE ATAKAYEKUFA APRIL.
 
Unaogopa kufa?

Nyie ndio Kagame anaiona Tanzania ilivyo 🐼
 
Back
Top Bottom