1980s kulikuwa na Chuo cha Bandari, Chuo cha Tanesco, Chuo cha Bima, Chuo cha Posta na Simu, Chuo cha Polisi nk, Sasa vimebaki Vyuo vya Polisi na Kodi

Vyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta

Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari 🐼
Chuo cha Benki.

Siku hizi unaenda benki unakutana na maafisa wajanja wajanja wasiojua miiko ya kazi na namna ya kutoa huduma.
 
Chuo chq sukari
449192478_991585555942013_1027796397250282653_n.jpg

Chuo chq reli

Chuo cha ujenzi

Chuo chq Kilimo

Chuo chq mifugo

Chuo cha uqlimu
Nk

Vyote vipo na vingine vinqendelea kuongezeka
 
Vyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta

Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari 🐼
Umeandika uongo havikufa bali majukumu yao yalihamishiwa vyuo vingine

Hizo course zote sasa hivi zinafufudishwa vyuoni
Mambo ya mawasiano yanafunzwa na vyuo kibao ikiwemo UDSM

Mambo ya forodha yako chuo cha kodi

Mambo ya bandari na meli bado yako chuo cha bandari na chuo kikuu chao pale bandarini pale posta

Mambo mengi ya Tanesco course zao Ziko vyuo kibao ikiwemo Dar es salaam Institute of technology

Wawekezaji wakija wataalam wanaokuja nao wachache sana na mwekezaji ruksa kuja na watu wake sababu mtaji ni wake huwezi mwambia asije hata na mmoja atagoma kuleta mtaji
 
Hizo taaluma zinafundishwa na vyuo vikuu vingi, tanesco ni engineering ya umeme, Udsm wapo, bima IFM na vyuo vingi, posta na simu ni electronics engineering, bandari sio fani, kuwa wanaofanya kazi hapo ni multi professional
Umejibu vema, ila naona umejibu harakaharaka tuu, bandari sio nin,?? Bandari sio fani? Hahaha acha hizo watu wanasoma fan za bandari mpka huko misri na useme sio fan mkuu??
Anywa bandari kipo kama kawaida, sema kuna kama siasa za kutaka watu wakasome misri sijui, ila kipo na ni chuo kikubwa africa masahariki na kati.
 
Kiulize kikundi chako cha uhalifu- CCM.
 
Umejibu vema, ila naona umejibu harakaharaka tuu, bandari sio nin,?? Bandari sio fani? Hahaha acha hizo watu wanasoma fan za bandari mpka huko misri na useme sio fan mkuu??
Anywa bandari kipo kama kawaida, sema kuna kama siasa za kutaka watu wakasome misri sijui, ila kipo na ni chuo kikubwa africa masahariki na kati.
kiko chuo pale opposite na johari rotana kinaitwa dar es salaam maritime institute kinatoa kozi mbalimbali zihusuzo bandari na ubaharia.
 
Umeandika nini
Chuo chq sukari
Chuo chq reli
Chuo cha ujenzi
Chuo chq Kilimo
Chuo chq mifugo
Chuo cha uqlimu
Nk

Vyote vipo na vingine vinqendelea kuongezeka
hawa ndio product ya ccm zao la mazombie soma alichokiandika hapo
 
Umeandika uongo havikufa bali majukumu yao yalihamishiwa vyuo vingine

Hizo course zote sasa hivi zinafufudishwa vyuoni
Mambo ya mawasiano yanafunzwa na vyuo kibao ikiwemo UDSM

Mambo ya forodha yako chuo cha kodi

Mambo ya bandari na meli bado yako chuo cha bandari na chuo kikuu chao pale bandarini pale posta

Mambo mengi ya Tanesco course zao Ziko vyuo kibao ikiwemo Dar es salaam Institute of technology

Wawekezaji wakija wataalam wanaokuja nao wachache sana na sio hatuna mwekezaji ruksa kuja na watu wake sababu mtaji ni wake huwezi mwambia asije hata na mmoja atagoma kuleta mtaji
😂😂
 
Back
Top Bottom