Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kipo kinafanyakaziHIvi hiko cha sukari cha taifa kipo hai? Kuna kimoja kipo kilombero
www.nsi.ac.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo kinafanyakaziHIvi hiko cha sukari cha taifa kipo hai? Kuna kimoja kipo kilombero
Kipo na wanataka kuongeza kozi ili waweze kutoa kozi zinazoendana na mazingira ya sasa ya reli ya kisasaChuo Cha Reli
Nimeshangaa kinatoa kozi chache hivyo wakati kulikuwa na kozi nyingi mpaka umeme wa majumbani na viwandani
Mjinga wewe ni muongo haswa, miaka hiyo hukuwepo duniani1988 nilikuwa mwalimu pale Chuo Cha Kodi mikocheni niliitwa kuwafundisha Wanafunzi kutoka Namibia
Mkuu wa Chuo alikuwa Dr Katunzi 😂
Wakati huo Chuo cha Kodi kilikuwa kinafadhiliwa na Serikali ya SwedenMjinga wewe ni muongo haswa, miaka hiyo hukuwepo duniani
Tapeli sn weweWakati huo Chuo cha Kodi kilikuwa kinafadhiliwa na Serikali ya Sweden
Nikawa nakaa Vatican Hotel Sinza na Usafiri nikapewa 😂😂
Wale Wanamibia Walikuwa Ndio wanajiandaa kutengeneza wataalamu wao 😄
Baadaye nikaalikwa Namibia na Waziri wa Fedha wa kule 😄Tapeli sn wewe
Labda Waziri wa UWTBaadaye nikaalikwa Namibia na Waziri wa Fedha wa kule 😄
Niliwapelekaga Wanafunzi wangu Disco la Mbowe na Kusaga 😄😄Labda Waziri wa UWT
Hela utoe wapi?Niliwapelekaga Wanafunzi wangu Disco la Mbowe na Kusaga 😄😄
Ile tutorial pale chuoni nilikuwa nalipwa kwa US Dollar 😄Hela utoe wapi?
Wewe huyuIle tutorial pale chuoni nilikuwa nalipwa kwa US Dollar 😄