1980s kulikuwa na Chuo cha Bandari, Chuo cha Tanesco, Chuo cha Bima, Chuo cha Posta na Simu, Chuo cha Polisi nk, Sasa vimebaki Vyuo vya Polisi na Kodi

1980s kulikuwa na Chuo cha Bandari, Chuo cha Tanesco, Chuo cha Bima, Chuo cha Posta na Simu, Chuo cha Polisi nk, Sasa vimebaki Vyuo vya Polisi na Kodi

Ndiyo Hicho Cha Morogoro Wamepewa MUM
Kingine Kipo KIDATU Wamepewa POLICE
Oky asante, kuna wakati tulikua tunafanya marekebisho pale mwaka 2005, tulikuta alama sehemu nyingi za Tanesco na hata nakshi za rangi ni kama za Tanesco.
 
Hapa mkapa alifanya uamuzi wa hovyo kwa kuhofia presha za akina ponda.

Mara mia wangepewa eneo na support ya kujenga chuo serikali ingeweka hata admin block tu.
Inaweza kuwa uamuzi wa busara , pengine waliangalia umuhimu wa hicho chuo kwa tanesco kwa wakati huo na wakati huu hivyo busara ikawa heri wakigawe.
 
Umeandika nini

hawa ndio product ya ccm zao la mazombie soma alichokiandika hapo
Unajua NK maana yake? Soma kichwa cha Habari kinasemaje?

Unataka nikujibu ujinga kama wewe ulivyo? Bahati mbaya siwezi kuwa kama ulivyo, umechagua njia yako hacha kuchukia njia yangu.
 
Oky asante, kuna wakati tulikua tunafanya marekebisho pale mwaka 2005, tulikuta alama sehemu nyingi za Tanesco na hata nakshi za rangi ni kama za Tanesco.
Kule Kidatu Chuo Sasa Kinaitwa Cha Ma~Afisa Wa Police Tanzania
 
Chuo cha TANESCO kilikuwa muhimu sana. Kingefundisha wataalamu kulingana na mahitaji yao. Hi kuna chuo cha reli?
 
Chuo chq sukari
Chuo chq reli
Chuo cha ujenzi
Chuo chq Kilimo
Chuo chq mifugo
Chuo cha uqlimu
Nk

Vyote vipo na vingine vinqendelea kuongezeka
National sugar institute kilikuwa hapo kilombero mpaka leo majengo yake yapo

Ova
 
Chuo cha TANESCO kilikuwa muhimu sana. Kingefundisha wataalamu kulingana na mahitaji yao. Hi kuna chuo cha reli?
Umrme unafundishwa vyuo vikuu vingi tu
Ilikuwa upotezaji pesa tu za walipa kodi
Mbona toka hicho chuo.kifitwe Tanesco hawajawahi kosa wafanyakazi weledi kazini

Kwanza kilipokuwepo kilizalisha vilaza watupu umeme ukiomba kufungiwa waweza kaa hata miaka mitatu hajafungiwa

Bili tu ya umeme kuipata yawexa chukua miezi hadi tisa halafu manual wafanyakazi maelfu kazi yao kuzurura kusoma mita majumbani na bill unabambikwa pia

Kulipia tu bill mtu.inabidi utenge siku nzima kupanga foleni ofisi za Tanesco bila kujali umbali unaishi wapi unatakiwa kusafiri kama uko kijijini.uende mjini kulipia

Kile chuo Tanesco kilikuwa cha kibwege sana
 
Hizo taaluma zinafundishwa na vyuo vikuu vingi, tanesco ni engineering ya umeme, Udsm wapo, bima IFM na vyuo vingi, posta na simu ni electronics engineering, bandari sio fani, kuna wanaofanya kazi hapo ni multi professional
Kwahiyo Tanzania Marine Institute Haina maana na kile chuo Cha bandari ni useless! Wewe ni popoma so ajabu serikali imeingia mkataba watanzania wakasome Egypt mambo hayo hayo ya marine.
Ukitaka kujua aina ya watu ambao wanawaza, kupanga na kuamua Kwa ajili Tanzania ya Leo na kesho angalia deligates iliyohudhuria mkutano mkuu wa ccm! Hao Ndio tunategemea wawe na significant contribution to the development of our nation in the next 50years ambao watachukua maoni ya watanzania waliyotoa kwenye dira ya maendeleo, si ajabu watu wanasema Ajira ni changamoto kubwa Kwa sasa wanatiwa mbaroni, huku wakisubiriwa kulipa mikopo ya Helsb.
 
Marine science ni specialsed knowledge, ina chuo chake, kina majengo mazuri sana Zanzibar, pia UDSM wana kozi kwa mambo hapo. Nyambiti bhebhe
 
Back
Top Bottom