Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ndiyo Hicho Cha Morogoro Wamepewa MUMHivi chuo cha tanesco ni kile kilichochukuliwa na waislamu pale Morogoro?
Kingine Kipo KIDATU Wamepewa POLICE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Hicho Cha Morogoro Wamepewa MUMHivi chuo cha tanesco ni kile kilichochukuliwa na waislamu pale Morogoro?
Oky asante, kuna wakati tulikua tunafanya marekebisho pale mwaka 2005, tulikuta alama sehemu nyingi za Tanesco na hata nakshi za rangi ni kama za Tanesco.Ndiyo Hicho Cha Morogoro Wamepewa MUM
Kingine Kipo KIDATU Wamepewa POLICE
Inaweza kuwa uamuzi wa busara , pengine waliangalia umuhimu wa hicho chuo kwa tanesco kwa wakati huo na wakati huu hivyo busara ikawa heri wakigawe.Hapa mkapa alifanya uamuzi wa hovyo kwa kuhofia presha za akina ponda.
Mara mia wangepewa eneo na support ya kujenga chuo serikali ingeweka hata admin block tu.
Unajua NK maana yake? Soma kichwa cha Habari kinasemaje?Umeandika nini
hawa ndio product ya ccm zao la mazombie soma alichokiandika hapo
Kule Kidatu Chuo Sasa Kinaitwa Cha Ma~Afisa Wa Police TanzaniaOky asante, kuna wakati tulikua tunafanya marekebisho pale mwaka 2005, tulikuta alama sehemu nyingi za Tanesco na hata nakshi za rangi ni kama za Tanesco.
mfano kile cha Bandari
Sana Dear eXInasikitisha sana
1988 nilikuwa mwalimu pale Chuo Cha Kodi mikocheni niliitwa kuwafundisha Wanafunzi kutoka NamibiaCCM kama waliua viwanda ambavyo vinatoa ajira kwa watanzania watashindwa kuua vyuo?
National sugar institute kilikuwa hapo kilombero mpaka leo majengo yake yapoChuo chq sukari
Chuo chq reli
Chuo cha ujenzi
Chuo chq Kilimo
Chuo chq mifugo
Chuo cha uqlimu
Nk
Vyote vipo na vingine vinqendelea kuongezeka
Chuo cha reli si kilikuwa taboraChuo cha TANESCO kilikuwa muhimu sana. Kingefundisha wataalamu kulingana na mahitaji yao. Hi kuna chuo cha reli?
Bandari College kilikuwa na unyama mwingi ada milioni 6+ huku field wakienda nje ya Nchi. Kilikufa kwa sababu ya gharama kubwa za uendeshaji
Umrme unafundishwa vyuo vikuu vingi tuChuo cha TANESCO kilikuwa muhimu sana. Kingefundisha wataalamu kulingana na mahitaji yao. Hi kuna chuo cha reli?
Kwahiyo Tanzania Marine Institute Haina maana na kile chuo Cha bandari ni useless! Wewe ni popoma so ajabu serikali imeingia mkataba watanzania wakasome Egypt mambo hayo hayo ya marine.Hizo taaluma zinafundishwa na vyuo vikuu vingi, tanesco ni engineering ya umeme, Udsm wapo, bima IFM na vyuo vingi, posta na simu ni electronics engineering, bandari sio fani, kuna wanaofanya kazi hapo ni multi professional
Chuo Cha ReliVyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta
Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari 🐼
Marine science ni specialsed knowledge, ina chuo chake, kina majengo mazuri sana Zanzibar, pia UDSM wana kozi kwa mambo hapo. Nyambiti bhebheKwahiyo Tanzania Marine Institute Haina maana na kile chuo Cha bandari ni useless! Wewe ni popoma so ajabu serikali imeingia mkataba watanzania wakasome Egypt mambo hayo hayo ya marine.
Ukitaka kujua aina ya watu ambao wanawaza, kupanga na kuamua Kwa ajili Tanzania ya Leo na kesho angalia deligates iliyohudhuria mkutano mkuu wa ccm! Hao Ndio tunategemea wawe na significant contribution to the development of our nation in the next 50years ambao watachukua maoni ya watanzania waliyotoa kwenye dira ya maendeleo, si ajabu watu wanasema Ajira ni changamoto kubwa Kwa sasa wanatiwa mbaroni, huku wakisubiriwa kulipa mikopo ya Helsb.
Kipo tabora na morogoro, Moro wanatoa maafisa au wale ambao sio mafundi, tabora wanatoa mafundiChuo cha reli si kilikuwa tabora
Ova