johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chuo cha Benki.Vyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta
Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari πΌ
Hapa mkapa alifanya uamuzi wa hovyo kwa kuhofia presha za akina ponda.Hivi chuo cha tanesco ni kile kilichochukuliwa na waislamu pale Morogoro?
Umeandika uongo havikufa bali majukumu yao yalihamishiwa vyuo vingineVyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta
Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari πΌ
Umejibu vema, ila naona umejibu harakaharaka tuu, bandari sio nin,?? Bandari sio fani? Hahaha acha hizo watu wanasoma fan za bandari mpka huko misri na useme sio fan mkuu??Hizo taaluma zinafundishwa na vyuo vikuu vingi, tanesco ni engineering ya umeme, Udsm wapo, bima IFM na vyuo vingi, posta na simu ni electronics engineering, bandari sio fani, kuwa wanaofanya kazi hapo ni multi professional
Unadhani IFM imeanza jana? Au udsm ni ya juzi? πHizo taaluma zinafundishwa na vyuo vikuu vingi, tanesco ni engineering ya umeme, Udsm wapo, bima IFM na vyuo vingi, posta na simu ni electronics engineering, bandari sio fani, kuwa wanaofanya kazi hapo ni multi professional
Cha Mororgoro ni cha Tanesco walipewa Waislam na Kidato kilikuwa cha Tanesco pia kinafundisha maafisa wa Police siku hiziHivi chuo cha tanesco ni kile kilichochukuliwa na waislamu pale Morogoro?
kiko chuo pale opposite na johari rotana kinaitwa dar es salaam maritime institute kinatoa kozi mbalimbali zihusuzo bandari na ubaharia.Umejibu vema, ila naona umejibu harakaharaka tuu, bandari sio nin,?? Bandari sio fani? Hahaha acha hizo watu wanasoma fan za bandari mpka huko misri na useme sio fan mkuu??
Anywa bandari kipo kama kawaida, sema kuna kama siasa za kutaka watu wakasome misri sijui, ila kipo na ni chuo kikubwa africa masahariki na kati.
hawa ndio product ya ccm zao la mazombie soma alichokiandika hapoChuo chq sukari
Chuo chq reli
Chuo cha ujenzi
Chuo chq Kilimo
Chuo chq mifugo
Chuo cha uqlimu
Nk
Vyote vipo na vingine vinqendelea kuongezeka
ππUmeandika uongo havikufa bali majukumu yao yalihamishiwa vyuo vingine
Hizo course zote sasa hivi zinafufudishwa vyuoni
Mambo ya mawasiano yanafunzwa na vyuo kibao ikiwemo UDSM
Mambo ya forodha yako chuo cha kodi
Mambo ya bandari na meli bado yako chuo cha bandari na chuo kikuu chao pale bandarini pale posta
Mambo mengi ya Tanesco course zao Ziko vyuo kibao ikiwemo Dar es salaam Institute of technology
Wawekezaji wakija wataalam wanaokuja nao wachache sana na sio hatuna mwekezaji ruksa kuja na watu wake sababu mtaji ni wake huwezi mwambia asije hata na mmoja atagoma kuleta mtaji