1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa sana.
 
Rekebisha hapo pekundu, ulipaswa kuandika hivi.....''of last resolve'',hamna kitu kama ''of last resolute'' kwenye uandishi wa lugha ya kiingereza.

Alamsiki.
Asante sana kwa kunisahihisha mkuu.

Ninaomba pia kukusahihisha na wewe kidogo kaka mkubwa. Sio "of last resolve" kama ulivyopendekeza bali ni "of last resort" ndio sahihi zaidi.
 
Rais Magufuli anatoa funzo kubwa kwa CHADEMA.
 
Rais Magufuli amejua kutupigania Watanzania Wish you all the best Mr President.
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante Magufuli oooyeeeeee.
 
Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Magufuli anatosha.
 
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yanaumiza sana hawa wajinga.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tukikuongezea miaka kumi tutaipiku USA.
 
Mkuu hakuna anayetetemeka, siku tatu Rais Magufuli amepumzika nyumbani maana ushindi ni ni uhakika zaidi ya 95%.
 
Shauri yao Magufuli kiboko yao anakubalika internationally.
 
yule mchimbaji mdogo aliyepewa mabilion na Magufuli amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.
 
Mkuu katika andiko lako hili, BLITZKRIEG inakosa maana.

Blitzkrieg ni aina ya mashambulizi ya nguvu sana kwa kutumia vikosi vyote vya jeshi, iwe Airforce, Armoured Divisions na Infantry kwa nia ya kuteka sehemu na kuikalia.


Blitzkrieg is a term used to describe a method of offensive warfare designed to strike a swift, focused blow at an enemy using mobile, maneuverable forces, including armored tanks and air support. Such an attack ideally leads to a quick victory, limiting the loss of soldiers and artillery. Most famously, blitzkrieg describes the successful tactics used by Nazi Germany in the early years of World War II, as German forces swept through Poland, Norway, Belgium, Holland and France with astonishing speed and force.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…