Only 1 Lady
Member
- Mar 2, 2018
- 21
- 5
Uso wa nungunungu ni kama panya mkubwaMe nimetokea polini mkuu japo now ni educated so ninaexperience na wanyama wengi ndio nungunungu ana miiba lkn hachimbi shimo na wala ukubwa wake hawezi kumzidi sungura hata siku moja mara nyingi nungunungu mkubwa size yake huweza fananishwa na simbirisi me naona ungeenda direct tu kwenye kilipuzi sio makona kwenye vitu ambavyo havimake sense