Only 1 Lady
Member
- Mar 2, 2018
- 21
- 5
Uso wa nungunungu ni kama panya mkubwaMe nimetokea polini mkuu japo now ni educated so ninaexperience na wanyama wengi ndio nungunungu ana miiba lkn hachimbi shimo na wala ukubwa wake hawezi kumzidi sungura hata siku moja mara nyingi nungunungu mkubwa size yake huweza fananishwa na simbirisi me naona ungeenda direct tu kwenye kilipuzi sio makona kwenye vitu ambavyo havimake sense
26.04 Janga linalo subiriwaNaona mnaelekezana kuelekea 26 ila angalieni msijeruhi tusiohusika kama mmeweza tengeneza hadi ya sufuria!!..
Tupo kwwnye siasa kwanza vipaji na sayansi baadaeTz tuendeleze vipaji jamani.
Hakuna kitu kama hicho wote waoga hawataweza andamana labda vyumbani mwao!!..26.04 Janga linalo subiriwa
Katika siku tulivu ni hiyo tarehe hakutakuwa na maandamano wala kelele yoyote.26.04 Janga linalo subiriwa