Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.
Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu.
Jionee mwenyewe jinsi mambo yalivyokuwa.
Your browser is not able to display this video.
MAELEZO KUHUSU VIDEO
Kikwete alitoa kauli ya kumuunga mkono Rais Mteule wa CCM wa kipindi hiko, ambaye alikuwa Benjamini William Mkapa, na akataka mashabiki wake wakubaliane na hilo kwa kuwa uchaguzi(Wa ndani) umeshaisha.
Aidha aliposema kuwa kamati yake ya kampeni na kamati zote zisiszo rasmi kwa wakati huo akazitaka ziwe ni kamati za Mkapa, ndipo watu wakapiga makofi akiwemo Hayati Julius Kambarage Nyerere
Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.
Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu...
Hapo zamani za kale CCM ilikuwa na itikadi na mwelekeo.
Ilivipoteza vyote ilipolaaniwa na Kolimba. Yawezekana humfahamu Kolimba kwa sababu ulikuwa mtoto. Usiogope kumuuliza Mwl Bashiru, anamfahamu.
Usimuulize Katibu Mkuu wa CCM, si ajabu hata yeye hamfahamu pia!
Vijana wa ccm someni vitani umesubili watu wamepost habari umedandia. Hakna viongozi wakti huu ndani ya ccm.