1996 Summer Olympics!

1996 Summer Olympics!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Je, wewe mwana JF ulikuwa wapi miaka karibu 19 iliyopita wakati wa michezo ya 100 ya Olimpiki?

Mimi bado naikumbuka hii michezo kama vile ilifanyika jana.

Moja ya matukio ambayo sitoweza kuyasahau maishani mwangu ni pale Muhammad Ali aliposhikilia kiwasha mwenge cha mwenge wa Olimpiki.

Mwili na mikono yake ilikuwa ikitetemeka na hofu yangu kubwa ilikuwa endapo atakidondosha hicho kiwasha mwenge.

Nadhani watu wengi walimwonea huruma sana lakini papo hapo walifurahishwa na ujasiri wake.

 
Last edited by a moderator:
Michuano hii inanikumbusha Nigeria ilivyofanya wonders katika soka!
 
Super Eagles...Celestine Babayaro, Godwin Okpara, Finidi George, Nwanko Kanu na wengine kibao.
 
Asante kutuhadisia cc tulikuwa wadogo sn kijijini
 
Back
Top Bottom