Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh baba ina pulling sana,Hiyo chaser imefungwa 2jz gte halafu wameitune hiyo injini
Kaka ile chaser ya huyo muarusha ni twin turbo, nadhani hata yutong ataisoma namba pale maana mark x tu third generation imesanda pamoja na kwamba ina na 4GR engine.Sana hasa ukute yenye twin turbo ni balaa na ifungwe kwenye gari ndogo kama Toyota Supra ni shida kama ushawahi kuiona Fast and Furious part 2 ipo hiyo Toyota Supra
Mbona sijapata kuisikia, umesema ya mwarabu?Kaka ile chaser ya huyo muarusha ni twin turbo, nadhani hata yutong ataisoma namba pale maana mark x tu third generation imesanda pamoja na kwamba ina na 4GR engine.
Yeah huwa anacheza rally ya KMSCMbona sijapata kuisikia, umesema ya mwarabu?
3s ge na 1g fe kutokana na mwakaAltezza mara nyingi zina 3S na 1G
Sorry mkuu tupo kijiweni hapa kun mtu anasema Noah inakimbia kuliko ti na mark 2 maan anadai amepanda Noah inayosafirisha Magazeti ndo amepata kugundua hilo jambo mimi sio mtaalamu wa magari ila niliwahi kusafiri na mark 2 gx 110 dar - songea alikuwa anaendesha bro alinyanyasa mpaka mabasi je katika hili analosema huyu jamaa?3s hizi ziko tofauti kidogo na 3s za kwenye Noah au rav 4 za zamani hizi ni powered by yamaha
Ukiiweka kwenye Verossa ya 1G naamini itaongeza power,swali je,fuel consumption itakuaje? Itakua sawa na 1G ya cc1988?1JZ na 2JZ ina cc2500 au nayo ni 2000(1988?)Ni kweli ila ukifunga 1jz au 2jz gte ni balaa nimeiona moja kuna jamaa wa team tezza kaifunga kwenye altezza yake yaani ni balaa
Kuitune Engine hufanyikaje?Hiyo chaser imefungwa 2jz gte halafu wameitune hiyo injini
Noah inakimbia kuliko ti lakini sio kuliko mark 2 hii ni kutokana na performance ya injini za hizo gari ambazo ni tofauti kabisaSorry mkuu tupo kijiweni hapa kun mtu anasema Noah inakimbia kuliko ti na mark 2 maan anadai amepanda Noah inayosafirisha Magazeti ndo amepata kugundua hilo jambo mimi sio mtaalamu wa magari ila niliwahi kusafiri na mark 2 gx 110 dar - songea alikuwa anaendesha bro alinyanyasa mpaka mabasi je katika hili analosema huyu jamaa?
Fuel consumption ya 1jz yenye cc 2500 inaweza ikalingana kidogo hasa yenye vvt-i ila 2jz haiwezi kulingana kwani ina cc 3000 na performance yake ni balaaUkiiweka kwenye Verossa ya 1G naamini itaongeza power,swali je,fuel consumption itakuaje? Itakua sawa na 1G ya cc1988?1JZ na 2JZ ina cc2500 au nayo ni 2000(1988?)
Kuna wachina wanazifunga hizo injini wapo mikocheni pamoja na kutune hizo injini zipo Shauri moyo zilikuwa zinapatikana hadi kwa 1.5m ila sasa hivi wameshaziona zina deal wamepandisha beiKuitune Engine hufanyikaje?
Kwa anaefaham,Engine hiyo ya 1JZ au 2JZ GTE, inapatikana pale Shauri Moyo Used? Na bei yake inaweza kusimama ngapi?
Ok,nashukuru kwa ufafanuziFuel consumption ya 1jz yenye cc 2500 inaweza ikalingana kidogo hasa yenye vvt-i ila 2jz haiwezi kulingana kwani ina cc 3000 na performance yake ni balaa
Nakushukuru mkuu hasa kwa kunitajia bei pale Shaurimoyo.Kuna wachina wanazifunga hizo injini wapo mikocheni pamoja na kutune hizo injini zipo Shauri moyo zilikuwa zinapatikana hadi kwa 1.5m ila sasa hivi wameshaziona zina deal wamepandisha bei
za kwenye Rav 4 ni 3s fe. ni kavu3s hizi ziko tofauti kidogo na 3s za kwenye Noah au rav 4 za zamani hizi ni powered by yamaha
noah ina shea injini na rav 4 ya zamani..injini yake haina nguvu kama 1g fe ya mark 2..Sorry mkuu tupo kijiweni hapa kun mtu anasema Noah inakimbia kuliko ti na mark 2 maan anadai amepanda Noah inayosafirisha Magazeti ndo amepata kugundua hilo jambo mimi sio mtaalamu wa magari ila niliwahi kusafiri na mark 2 gx 110 dar - songea alikuwa anaendesha bro alinyanyasa mpaka mabasi je katika hili analosema huyu jamaa?
1g fe ni 1.9 litre centimeter cubicUkiiweka kwenye Verossa ya 1G naamini itaongeza power,swali je,fuel consumption itakuaje? Itakua sawa na 1G ya cc1988?1JZ na 2JZ ina cc2500 au nayo ni 2000(1988?)
kwel kabisa t.i ni 5A 1.3 ccNoah inakimbia kuliko ti lakini sio kuliko mark 2 hii ni kutokana na performance ya injini za hizo gari ambazo ni tofauti kabisa