1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

Mimi ni mpenzi wa SUBARU LEGACY, bado sina gari, ila napenda hii gari iwe gari yangu ya kwanza.
 
ecarstanzania_BbgwOH0gPwO.jpg
 
noah ina shea injini na rav 4 ya zamani..injini yake haina nguvu kama 1g fe ya mark 2..
ni dereva tu hakuamua kumtoroka
Sawa mkuu swali la nyongeza kwa hiyo ukiwa mtu wa kusafiri mara kwa mara ni vyema uchukue mark 2 gx 110 kuliko noah?
 
noah ina shea injini na rav 4 ya zamani..injini yake haina nguvu kama 1g fe ya mark 2..
ni dereva tu hakuamua kumtoroka
Na je ulaji wa mafuta noah ukoje(ol model) na mark 2 gx 110 ukoje?...ipi inadumu zaidi kutokna n mabarabara zetu?..nawasilisha
 
Sawa mkuu swali la nyongeza kwa hiyo ukiwa mtu wa kusafiri mara kwa mara ni vyema uchukue mark 2 gx 110 kuliko noah?
Mi ningekushauri uchukue noah sbb inavumilia sana na iko kikazi zaidi kuliko mark 2
 
Na je ulaji wa mafuta noah ukoje(ol model) na mark 2 gx 110 ukoje?...ipi inadumu zaidi kutokna n mabarabara zetu?..nawasilisha
kwa maaana ya body noah inavumilia
ulaji wa mafuta karibia sawa tu...
 
Brevis ina hii injini ila mfumo wake una umeme mwingi kidogo D-4
 
Wadau kuna mtu yyte ana jua Toyota Prius yoyote inayouzwa used apa town?????
Yaani bongo watu wanaongelea sijui mark x, brevis, verosa, mark II, Subaru, hao wanaendesha alteza sasa utafikiri wanaendesha Nissan GTR kumbe sedan ya kawaida tu kelele nyingi gari iko hapohapo. Huwa nacheka sana road wakianza ligi zao za kitoto....
 
Back
Top Bottom