Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Kwa 1hz anakaadah mkuu 1kz ndo mtihani maana unaweza kusema upo ndan ya jet hasa pale ufunguapo turbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa 1hz anakaadah mkuu 1kz ndo mtihani maana unaweza kusema upo ndan ya jet hasa pale ufunguapo turbo
Hiyo mashine yako ilikuwa ni ya kawaida sana, km ulishawahi kuendesha 1jzgte au 2jzgte iliyofanyiwa mapping ndio ungenielewa zaidi, dragging race ya mwisho iliyofanyika Kenya gari za Tanzania zilizofungwa injini za 2jz gte ndio zilizokuwa zinapeform vizuri haijalishi imefungwa kwenye toyota alteza au supra lakini ilikuwa ni balaa wakenya na subaru zao walikuwa wanaipata fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe zimefungwa katika gari za Crown Athlete basi nimeelewaWatu wengi bongo hapa ukiwaambia Crown Athlete wamezoea zile za 4Gr na 3Gr au zile za 2500cc na 3000cc ambazo ndio zimejazana kwenye ma yard humo.
Hii ninayo izungumzia hapa ni kinu cha 3500 cc,
Naombeni muitafute Crown Athlete GRS-184 muitest uwezo wake. Halafu mje mthibitishe hapa
Wewe unaizungumzia Crown majesta sio crown athleteWatu wengi bongo hapa ukiwaambia Crown Athlete wamezoea zile za 4Gr na 3Gr au zile za 2500cc na 3000cc ambazo ndio zimejazana kwenye ma yard humo.
Hii ninayo izungumzia hapa ni kinu cha 3500 cc, Gari ambazo watu wachache sana wanazo bongo hapa, maana ni gari ambazo kuzikuta yard ni Nadra sana.
Naombeni muitafute Crown Athlete GRS-184 muitest uwezo wake. Halafu mje mthibitishe hapa
Wewe unaizungumzia Crown majesta sio crown athlete
Sent using Iphone 7s
Huwa nashangaa sana watu wanasifia Subaru,kazi kuunguruma na kutuharibia utulivu mitaaniSubaru hakuna kitu mkuu. Tunaviona mtaani vimefungwa mabuyu nyuma, vinapiga Kelele tu
Zilitengenezwa na kampuni ya Subaru. Toyota sports karibu zote ni Subaru ila body ToyotaSasa inji ya 1jz na 2jz ni balaa ukiisikiliza utafurahi mwenyewe
Zilitengenezwa na kampuni ya Subaru. Toyota sports karibu zote ni Subaru ila body Toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilitengenezwa na kampuni ya Subaru. Toyota sports karibu zote ni Subaru ila body Toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
yamaha katengeneza 2ZZ GE na 3s GE sidhani kama ananyingine kwenye toyotaHapana kiongozi, hizi engines zilitengenezwa na kampuni ya YAMAHA tena kama sikosei ikishirikiana na Toyota
upo sahihi hizi engine ni mali ya Toyotayamaha katengeneza 2ZZ GE na 3s GE sidhani kama ananyingine kwenye toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah daah.yaani mnavyo taja haya madude naona kama mnaongea kiyunani, sielewi chochote
Uko fresh sana ni kama wa harmonizer+mr.nice-dokii
Nadhani uko sahihi kwa kiasi fulani.Zilitengenezwa na kampuni ya Subaru. Toyota sports karibu zote ni Subaru ila body Toyota
Sent using Jamii Forums mobile app