1st YEAR MAPINDI YA CHUO

1st YEAR MAPINDI YA CHUO

Mkikua mtaacha

imekuchoma eeh! Huu ni mtandao wa kijamii na elewa kwamba jamii hailingani. Kila mmoja ana uhuru wa kufanya atakavyo kikubwa asivunje sheria. Iweje mtu kama wewe uniendeshe utakavyo. Eti nisiandike hivi. Kampangie hivo mwanao na sio mtu mwenye anajitambua na maamuzi yake.
 
kwa wale 1st year wote napenda kuwatangazia mapind ya chuo kama ifuatavyo. course zitakazofundisha ni kama ifuatavyo 1:jins ya kutumia boom 2:kuepuka kudisco na kusapu 3: jins ya kumenej time 4: kujua dem mzur anayekufaa 5: jins ya kuchagua marafk 6:kutambua matapel chuoni 7:jins ya kupiga chapo kuepuka kudisco 8: jins ya kula bata wakat wa field 9:jins ya kufoj assiment 10: pamoja na jins ya kufanya presentation .Ada ni bei nafuu na utalipa kidogokidogo tumewasaidia weng sana tunaaza fundisha kuanzia tarehe 20 had cku ya utakapo fungua chuo wote mnakaribishwa

nonsense
 
Hivi kweli ukipima ulichoandika na mda uliotumia kabisa ku compose unajiona uko sawa upstairs?
 
imekuchoma eeh! Huu ni mtandao wa kijamii na elewa kwamba jamii hailingani. Kila mmoja ana uhuru wa kufanya atakavyo kikubwa asivunje sheria. Iweje mtu kama wewe uniendeshe utakavyo. Eti nisiandike hivi. Kampangie hivo mwanao na sio mtu mwenye anajitambua na maamuzi yake.

Kumbe unajua kuandika vizuri?
 
Back
Top Bottom