2/3 of Africans have no toilets!

Yap unazungumzia dry toilet... Sasa hivi kuna kampeni kubwa ya kutumia vyoo hivyo kutokana na kubana matumizi ya maji

Hivi vyoo havitumiki mijini kama sikosei. Huko vijijini, VIP vinatosha sana. Vingine vinakuwa na mashimo mawili kiasi cha kufanya kazi ya kutapisha kuwa rahisi. Ni huko mjini kwenye msongamano wa watu ndiko kunahitaji hasa jitihada kubwa. Kuna wakati tulikuwa na oxidation ponds, sijui zimeishia wapi? Hatuwezi kutatua tatizo hili kwa kutafuta njia za mkato. Inabidi tuanzie mbali, kuanzia namna miji yetu inavyobuniwa na kuongozwa. Nadhani Indonesia na Sri Lanka wanaweza kutufundisha namna ya kulikabili tatizo hili.
 
Aisee msomi umesema kweli kabisa. Wewe kweli umeenda shule na shule ikakuingia ukiacha vitu vingine vilivyokuingia huko shuleni.
 
Nyani limbukeni, elimu niliyipata si ya shule tu bali sehemu kubwa ni kuishi muda mrefu na watu kama wewe. Kwa nini usifafanue tu ni vitu gani vingine vilivyoniingia nikiwa shuleni? Au unaona aibu?
 
..kwani walichosema ni uongo? au?

..hiyo nyumbu imefanya nini? mi naona fuso kila kona!

..baada ya middle east,africa inafatia kwa kutokuwa na amani,au?

..hizo nyumba za mbinga zina toilets? au?

..mahesabu,habari mbaya ndio zinazouza magazeti na kufanya tv ziwe zinaangaliwa mara kwa mara! btw,watoto wa shule hawapendi mahesabu nowdays,i wonder why!
 
Nyani limbukeni, elimu niliyipata si ya shule tu bali sehemu kubwa ni kuishi muda mrefu na watu kama wewe. Kwa nini usifafanue tu ni vitu gani vingine vilivyoniingia nikiwa shuleni? Au unaona aibu?

..ha ha ha ha ha!

..mambo ya kutiana hayo! vidole vya machooooo!
 
Nyani limbukeni, elimu niliyipata si ya shule tu bali sehemu kubwa ni kuishi muda mrefu na watu kama wewe. Kwa nini usifafanue tu ni vitu gani vingine vilivyoniingia nikiwa shuleni? Au unaona aibu?

Vitu vilikuiingia wewe kufafanua nifafanue mimi...wapi na wapi?
 
Si ulishuhudia ndiyo maana ulijua viliniingia? Unashindwa nini kuvifafanua? Unaogopa nini? Kuna wakati ulinishauri nitumie dildo. Ndiyo hiyo unayozungumzia au kuna kitu kingine?
 
..hata kariakoo huku daslam mchezo huo upo sana!

..wakati fulani hizo rambo zilikuwa zikiachwa barabarani katikati kwenye utengo wa barabara mbili!
 
Si ulishuhudia ndiyo maana ulijua viliniingia? Unashindwa nini kuvifafanua? Unaogopa nini? Kuna wakati ulinishauri nitumie dildo. Ndiyo hiyo unayozungumzia au kuna kitu kingine?

Haya bana...vitu vilivyokuingia pamoja na elimu ni vifutio, penseli, peni, viboko, vidole na vingine vingi tu. Au nielezee na hivyo vingine vingi?
 
..fundi,

..taratibu!,

..wanetu wako pembeni wajifanya wanasoma kumbe wanapiga chabo kiaina! hasa ninapocheka!
 
..fundi,

..taratibu wanetu wako pembeni wajifanya wanasoma kumbe wanapiga chabo kiaina! hasa ninapocheka!

Mimi nina'quote' baadhi ya maneno ambayo Nyani amekuwa akiyatumia dhidi yangu. Kwa nini hapa uone tatizo Mkuu? Si ndiyo lugha iliyokubalika humu kwenye jamvi?
 
Haya bana...vitu vilivyokuingia pamoja na elimu ni vifutio, penseli, peni, viboko, vidole na vingine vingi tu. Au nielezee na hivyo vingine vingi?

..vumbi la chaki,

..bila kusahau harufu kali ya mikojo vyooni!

..vyote hivi, puani!
 
Haya bana...vitu vilivyokuingia pamoja na elimu ni vifutio, penseli, peni, viboko, vidole na vingine vingi tu. Au nielezee na hivyo vingine vingi?

Naam, vielezee tu na itakuwa bora vizuri ukielezea kwa undani wapi viliponiingia!
 
Mimi nina'quote' baadhi ya maneno ambayo Nyani amekuwa akiyatumia dhidi yangu. Kwa nini hapa uone tatizo Mkuu? Si ndiyo lugha iliyokubalika humu kwenye jamvi?

..lah hasha! sijaona tatizo!

..niliona spidi inaongezeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…