Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
..nyani,
..btw, nasikia kwenu mnaenda jisaidia kwenye vichaka vya karibu!
Oh yeah....kwani nini cha ajabu... Nyie kwenu mnajisaidia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..nyani,
..btw, nasikia kwenu mnaenda jisaidia kwenye vichaka vya karibu!
Na wewe pia umo?
Oh yeah....kwani nini cha ajabu... Nyie kwenu mnajisaidia wapi?
Wewe acha kumchokonoa...ooops kumchokoza mwenzio...atakusemea kwa mwalimu wa nidhamu
..nipo wapi,tena!?
..si tunaongelea mambo ya sanitation,au?
Unawasiwasi wa kusemewa? Tatizo ni kuwa unadhani kwa kutumia maneno kama haya yanakupa street 'cred'! Kama alivyosema Stevie Wonder... You ain't done nuthin'! Kwangu mimi unajithibitishia ulivyo limbukeni na wakuja. Nilishakwambia kuwa nimetukanwa na waliokufundisha na sikudhurika. Haya yako ni ya watoto wa Masaki wakitaka kujifanya walizaliwa mishenkota! Kubaya huko unakokukimbilia.
Hili swali la choo wla lisije wapeni homa na kufikiria sana kwani sioni kosa la mzungu (kwa tafsiri yake) wala uzito mkubwa wa kutufanya sisi tufadhaike kwani yapo mambo mengi sana yanayofanana na hili. Naweza sema kuwa hoja hii ni sawa na mzungu mwingine aandike kuwa asilimia 80 ya waafrika hawatumii toilet paper..
Kwa mtazamo wa haraka haraka itauma kwani inaashiria kuwa sisi makalio yetu ni lazima yanatoa funk kichizi, Lakini ukweli ni kwamba pamoja na kutotumia toilet paper haina maana hatujisafishi, wengi wetu tunatumia maji na pengine majani kutokana na hivyo vyoo vyetu vya asili..Je, wao wangapi wanatumia maji?.. labda 1/1000.
Hatuna shower wala bathtub tena kwa ratio kubwa zaidi lakini tunatumia maji ya ndoo na kujimwagia kama shower. Muhimu kwetu ni usafi, na naweza sema kati yetu na wao sisi wasafi zaidi peninge asilimia 80 ya hao wenye toilet na watumiaji toilet paper wananuka kwa uchafu.
..ziwani!
..unafikiri samaki wanarutubishwa na nini?
..hii inanikumbusha juu ya miti ya matunda inayozunguka nyumba nyingi bila mpangilio!
..ila wenzetu wa buguruni hawana bahati kama hii. wao ni kipindupindu kila mvua nzito zinapodondoka!
Tafadhali, Mkuu! Don't insult our intelligence.
Msomi kwani steet cred ndio nini? Kama ni tusi basi mwenyewe....
Sili tena sato wala sangara...
..nilikuwa natoka kwenye mada hiyo,
..hivyo hiyo ilikuwa outtro,if you may!
Kwani nimewahi kukutukana?
Mada ipi unayotoka? Brother!
..fundi,
..mada ya utani,si mada hii ya vyoo na waafrika!
..manake kulikuwa/kuna mada ndani ya mada hapa!
..nadhani umenielewa!
Sili tena sato wala sangara...
..fundi,
..mada ya utani,si mada hii ya vyoo na waafrika!
..manake kulikuwa/kuna mada ndani ya mada hapa!
..nadhani umenielewa!
Nyani Ngabu.
Mkuu kama upo North Amerika inabidi hata maji ya bomba usinywe maanake hayo maji ya toilet zao hizo ndio huzungushwa na kurudi mabombani... hata kama wamesafisha kiasi gani mkuu bado wanywa maji yenye punje punje za harufu la shuzi la Mzee wetu Mwanakijiji... duh!.
Sinywi maji ya bomba mimi....Sato wala usiwaguse, hawa ni kama kuku au bata!