Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAY WA MITEGO 2 BILLIONDuh hatari. Sie wakwetu wa kwanza atakuwa na 10-15 Bilion
UTAFITI UKO SAWA KABISAAUzi unauhusiano upi na ulichokomenti? Eti na likes umepata! Kweli kale kautafiti naanza kukaelewa sasa.
WALIO KULIKE PAMOJA NAWEWE UWEZO WENU WA AKILI NI 1% KATIKA 100%King kiba hayupo mbona...? meneja wa diamond atakua alihusika katika upangaji wa hii list
Blacket = BracketHivi blacket ni wasanii wa nchi gani?![]()
-Nyerere-
1% inanitosha sana kiongozi sihitaji zaidi ya hapoWALIO KULIKE PAMOJA NAWEWE UWEZO WENU WA AKILI NI 1% KATIKA 100%
duuh1% inanitosha sana kiongozi sihitaji zaidi ya hapo
Tekno MAIL ni msanii wa wapi...?tekno mail ndo underground pekee
We ndo hujaelewa nayaonekana nimmoja wapo kati yawale watz wa4 jifunze kufikiri nje yaboxUzi unauhusiano upi na ulichokomenti? Eti na likes umepata! Kweli kale kautafiti naanza kukaelewa sasa.
Hahahahahahahahahahaha walimtingisha mwandishi wakati ana type majinaKing kiba hayupo mbona...? meneja wa diamond atakua alihusika katika upangaji wa hii list
Wee ndio ujifunze kwanza kuweka nafasi kati ya neno na neno.We ndo hujaelewa nayaonekana nimmoja wapo kati yawale watz wa4 jifunze kufikiri nje yabox
namba moja.Kwa mfano supastaa wetu DIAMOND angekuwa ni m nigeria, ange fall kwenye # ngapi ndani ya hio list
Haha aise ..ice prince underground?Kuna mtu mwaka jana alisema ice prince ni underground [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
kumbe phyino anamkwanja eeeh
Best, Tecno nadhani yuko mbioni atachomoza tu kwa single kali anazotoa na pia akizidi kusaini mikataba minono na makampuniAiseee P2 ni noma!Ndio nini kuwaacha wenzao gape kubwa hivyo?
Ila nimefurahi kwa Mr. Flavour... Jamaa namkubali na kumuelewa sana.
Mbona Tekno hayupo jamani?Au ndio bado underground? [emoji86]
Ambae atakua nani bint kiziwi?!Duh hatari. Sie wakwetu wa kwanza atakuwa na 10-15 Bilion
Walisema kwamba ana utajiri wa bilioni 8 za kitanzania ...Kwa mfano supastaa wetu DIAMOND angekuwa ni m nigeria, ange fall kwenye # ngapi ndani ya hio list