BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #41
Kabisa mkuuSpeed ya yemi Alade kwenye kazi zake baada ya mwaka mmoja anaweza kuingia top 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuSpeed ya yemi Alade kwenye kazi zake baada ya mwaka mmoja anaweza kuingia top 10
Wako vizuri wale mapacha japo ubalozi nafikir wa ile kampun ya simu ya GLO mabosi wa kampuni wame-terminate kutokana na skendo yao ile ya ugomvi japo waliomba msamaha na kua wamerudi vizuri kuelewana lakin naona GLO wamekataaP square wanaweza kuongoza hadi miaka 5 mbele no mbili anaingia mara 2 na ushee
Si mpenz wa mzik kupitliza ila namuelewa sana huyu jamaa mzee wa duro toka nimjue anapiga ngoma za kukosha nafsi tuuAiseee P2 ni noma!Ndio nini kuwaacha wenzao gape kubwa hivyo?
Ila nimefurahi kwa Mr. Flavour... Jamaa namkubali na kumuelewa sana.
Mbona Tekno hayupo jamani?Au ndio bado underground? [emoji86]
Hata mm nimeshangaa mkuu ila bado nawafuatilia why sasa hivi wamekua hawasikiki sanaBlacket = Bracket
Ni wasanii wa Nigeria, ila hata mimi nashangaa kwanini wao hawapo kwenye hiyo list
Nigeria ...kibao maarufu kama "wash" ndio wengi wanamfaham kwa ngoma hio na nyingine kali ambazo ametoaTekno MAIL ni msanii wa wapi...?
Hata mm nimeshangaa mkuu ila bado nawafuatilia why sasa hivi wamekua hawasikiki sana
Aaaha kumbe alimaanisha tekno milesNigeria ...kibao maarufu kama "wash" ndio wengi wanamfaham kwa ngoma hio na nyingine kali ambazo ametoa
Huyo jamaa atakuwa haujuii mziki aiseKuna mtu mwaka jana alisema ice prince ni underground [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
kumbe phyino anamkwanja eeeh
Angechezea 17-20 wa Nigeria si watu wa mchezo etiKwa mfano supastaa wetu DIAMOND angekuwa ni m nigeria, ange fall kwenye # ngapi ndani ya hio list
Unawatafuta?King kiba hayupo mbona...? meneja wa diamond atakua alihusika katika upangaji wa hii list
Haha don jazzy again oooohUyo baba namba 2 ,yumo khaa
18092809Kibakuli hapo anashika nafasi ya # kama angekua mnaigeria?
Thijui hata.Ambae atakua nani bint kiziwi?!
18092633Kwa mfano supastaa wetu DIAMOND angekuwa ni m nigeria, ange fall kwenye # ngapi ndani ya hio list
Ni actor<<<MR. IBU Vp >>>???
DIAMOND, mwenye 10b tsh kwa sasa na angekuwa mnigeria angekaa# 9. Ole wake mtu anibishie NAMZIMIA MIC.Kwetu bongo Nani anaongoza
mbona @devidevijo hayupo?Orodha kamili kuanzia 20 hadi 1.
20. Olamide--Bilioni 2.7 Tsh
View attachment 419548
19. Patoranking--Bilioni 2.7 Tsh
View attachment 419549
18. Yemi Alade -- Bilioni 3.9 Tsh
View attachment 419550
17. Duncan Mighty -- Bilioni 4.8 Tsh
View attachment 419551
16. Chidinma -- Bilioni 5.7 Tsh
View attachment 419552
15. Phyno -- Bilioni 6.2 Tsh
View attachment 419553
14. Ice Prince -- Bilioni 6.7 Tsh
View attachment 419555
13. Kcee -- Bilioni 6.8 Tsh
View attachment 419557
12. Timaya -- Bilioni 6.9 Tsh
View attachment 419558
11. M.I -- Bilioni 6.9 Tsh
View attachment 419559
10. Tiwa Savage -- Bilioni 7.6 Tsh
View attachment 419560
9. Banky W -- Bilioni 12.5 Tsh
View attachment 419561
8. Wizkid -- Bilioni 16 Tsh
View attachment 419562
7. Iyanya -- Bilioni 17.4 Tsh
View attachment 419563
6. Davido -- Bilioni 20.1 Tsh
View attachment 419564
5. 2Face "2Baba" --- Bilioni 31.3 Tsh
View attachment 419566
4. D'Banj -- Bilioni 34.8 Tsh
View attachment 419567
3. Flavour -- Bilioni 39.6 Tsh
View attachment 419568
2. Don Jazzy -- Bilioni 48.7 Tsh
View attachment 419569
1. ☆☆ P - Square ☆☆ -- Bilioni 178 Tsh
View attachment 419572