20 bora ya wanamuziki matajiri nchini Nigeria

P square wanaweza kuongoza hadi miaka 5 mbele no mbili anaingia mara 2 na ushee
Wako vizuri wale mapacha japo ubalozi nafikir wa ile kampun ya simu ya GLO mabosi wa kampuni wame-terminate kutokana na skendo yao ile ya ugomvi japo waliomba msamaha na kua wamerudi vizuri kuelewana lakin naona GLO wamekataa
 
Aiseee P2 ni noma!Ndio nini kuwaacha wenzao gape kubwa hivyo?
Ila nimefurahi kwa Mr. Flavour... Jamaa namkubali na kumuelewa sana.
Mbona Tekno hayupo jamani?Au ndio bado underground? [emoji86]
Si mpenz wa mzik kupitliza ila namuelewa sana huyu jamaa mzee wa duro toka nimjue anapiga ngoma za kukosha nafsi tuu
 
Blacket = Bracket

Ni wasanii wa Nigeria, ila hata mimi nashangaa kwanini wao hawapo kwenye hiyo list
Hata mm nimeshangaa mkuu ila bado nawafuatilia why sasa hivi wamekua hawasikiki sana
 
mbona @devidevijo hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…