Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Nakubaliana na wewe mkuuHajaacha ila ni kwamba nyimbo haziendi, lakini pia alikuwa anataka kumprove wrong Ruge kwamba bila yeye anaweza simama, pia waliokuwa wakimchukia Ruge/Clouds wote walikuwa upande wake hivyo alikuwa na nguvu
Yaah![emoji16][emoji16] Na akaacha kufanya kilabo na Chid Benzi kabisa akawa anafanya na Mr BlueKhaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafa mda sanaaaMr ebbo mmasai yupo wapi
Kitu mawazo na ambwene
Hamna msanii humo, nyakati zilimbeba
Huu wimbo alitunga bwana, kila kitu lzm uwaze mawazooo mawazoooDaaaaaaaaa mkuuu umegusa ngoma kaliii kuwahi kutokea.
MAWAZO
Ni zaidi ya hayo, ukumbuke wakati anaanza career yake walikuwa wanatiana(pika pakua) hivyo ujue beef lao lilikuwa na mchanganyiko wa mambo mengi. Bila hilo beef muziki wa Jide kwa hali ilivyo sasa soko linaugumu sana kwake pamoja na kipaji kikubwa alichonacho.Pia alifanya vile ili Kumkomoa Ruge,,, yaani alimuonyesha yeye mwenyewe anaweza kusimama bila kusimamiwa,,kwani ilifahamika kuwa Ukikosana na Ruge unapotea kimuziki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutongozwaa hataki?? How? Mbna sijaelewaa.Yaah![emoji16][emoji16] Na akaacha kufanya kilabo na Chid Benzi kabisa akawa anafanya na Mr Blue
By the way....😂Ufupi sio ugonjwa
Yaani kiuhalisia Judith Wambula ni Mkubwa kwa Rashidi,, hivyo aliona kama kamdharau sana na kamchukulia kama Malaya,,, basi Jay dee ikamuuma sana na kupelekea kumuanika kwa mapaparazi,,, aisee ili trend ile skendo[emoji16][emoji16] na sijui kama hadi sasa wanaongea Amini maelewano kati yao sijui kama yapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutongozwaa hataki?? How? Mbna sijaelewaa.
Chanzo hasa cha kutoelewana na marehemu Ruge ilikuwa Nini? Au alimtaka akakataa??Ni zaidi ya hayo, ukumbuke wakati anaanza career yake walikuwa wanatiana(pika pakua) hivyo ujue beef lao lilikuwa na mchanganyiko wa mambo mengi. Bila hilo beef muziki wa Jide kwa hali ilivyo sasa soko linaugumu sana kwake pamoja na kipaji kikubwa alichonacho.
Basi tufanye msanii ni mama Zurri.Hamna msanii humo, nyakati zilimbeba
Waliikopi kutoka kwa wale dada wa marekaniHiyo ngoma inaitwa "understanding"
Mapenzi na kazi ni ujinga, marehemu alipita na jidePia alifanya vile ili Kumkomoa Ruge,,, yaani alimuonyesha yeye mwenyewe anaweza kusimama bila kusimamiwa,,kwani ilifahamika kuwa Ukikosana na Ruge unapotea kimuziki