20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

Hajaacha ila ni kwamba nyimbo haziendi, lakini pia alikuwa anataka kumprove wrong Ruge kwamba bila yeye anaweza simama, pia waliokuwa wakimchukia Ruge/Clouds wote walikuwa upande wake hivyo alikuwa na nguvu
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Pia alifanya vile ili Kumkomoa Ruge,,, yaani alimuonyesha yeye mwenyewe anaweza kusimama bila kusimamiwa,,kwani ilifahamika kuwa Ukikosana na Ruge unapotea kimuziki
Ni zaidi ya hayo, ukumbuke wakati anaanza career yake walikuwa wanatiana(pika pakua) hivyo ujue beef lao lilikuwa na mchanganyiko wa mambo mengi. Bila hilo beef muziki wa Jide kwa hali ilivyo sasa soko linaugumu sana kwake pamoja na kipaji kikubwa alichonacho.
 
Yaah![emoji16][emoji16] Na akaacha kufanya kilabo na Chid Benzi kabisa akawa anafanya na Mr Blue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutongozwaa hataki?? How? Mbna sijaelewaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutongozwaa hataki?? How? Mbna sijaelewaa.
Yaani kiuhalisia Judith Wambula ni Mkubwa kwa Rashidi,, hivyo aliona kama kamdharau sana na kamchukulia kama Malaya,,, basi Jay dee ikamuuma sana na kupelekea kumuanika kwa mapaparazi,,, aisee ili trend ile skendo[emoji16][emoji16] na sijui kama hadi sasa wanaongea Amini maelewano kati yao sijui kama yapo.
 
Ni zaidi ya hayo, ukumbuke wakati anaanza career yake walikuwa wanatiana(pika pakua) hivyo ujue beef lao lilikuwa na mchanganyiko wa mambo mengi. Bila hilo beef muziki wa Jide kwa hali ilivyo sasa soko linaugumu sana kwake pamoja na kipaji kikubwa alichonacho.
Chanzo hasa cha kutoelewana na marehemu Ruge ilikuwa Nini? Au alimtaka akakataa??
 
Tanzania kuna malegend wengi sana katika sanaa lakini umaskini wao huwa unanisikitisha sana.
 
Huyu mkurya alikuwa anajua Sana kwa kweli, napenda nyimbo zake karibia zote.
 
Back
Top Bottom