20 most Influential JF members 2016

Influencial kwa maana gani?
Amekuenfluence katika kitu gani? Kuna watu wawili wamesababisha nibadili kabisa mwelekeo wa maisha yangu... Kiranga bhana Kiranga, amenisababisha nitafakari sana, nisome vitabu vingi sana, na hatimae nikaibuka na hitimisho kwamba Mungu hayupo. Deception amesababisha baada ya kufanya viuchunguzi na viutafiti vyangu, nikafuatilia historia yote ya HIV/AIDS, nimethibitisha pasipokuwa na chembe ya shaka kuwa hakuna HIV/AIDS, sasa hivi nishasahau kondomu zinauzwaje, nakula raha kinoma... Amani kwao watu hawa.
 
Mzizi mkavu, pasco, Mzee mwanakijiji, maxence melo, mshana Jr, nyani gandu, kiranga,
 
Kwa Akili Yangu,I thought utawataja na hawa

1.Mshana Jr
2.Kiranga
3.Hoe
4.Lara 1
5.Pasco
6.Nyani Ngabu
7.Warumi
8.Miss Chagga
9.Mzizi Mkavu
10.Deception
11.Mzee Mwanakijiji
Nk

Na katika AKILI ya aliyetutaja Wewe hukuwemo halafu na isitoshe aliongozwa na roho mtakatifu mpaka akatutaja Mkuu. Kuna wengine ID's zetu zipo mioyoni mwa Watu hivyo tunapeta tu kwa raha zetu. Mleta UZI akhsante mno kwa KUTUTAJA sisi pekee wenye USHAWISHI na MVUTO na ambao hampo hapo mnaweza tu mkaamua mjinyonge au mtafute tu namna ya mtakavyojulikana nanyi pia. Binafsi sijui kama kuna Kikosi ambacho Mtu yoyote humu atakitaja halafu nisiwemo!
 
Hahaha,

Angalia kaka. Condom si kwa HIV tu.
 
Ungetoa angalau mmoja best toka kila forum. Inawezekana hutembeleo sub forums kujua nani wapo vizuri.
 
Dah, we hatari.
 
JF..??duh itakua unashinda kwenye majukwaa fulani ivi tena ni mawili tu jipe nafasi ya kutembea hii JF ni kama Mkoa fulani ivi kuna wilaya kibao umu kuna nguli wa kuitwa Chief Mkwawa ukienda kwenye jimbo lake huwezi amini,sitaki nikutajie mafundi wa JLW lile jukwaa la chini kabisa (pendwa) [emoji23][emoji23][emoji23] chief hii list yako ni majukwaa kama mawili ivi next time jipe muda wa kufanya utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…