20 Percent Nyota kubwa ya Muziki wa Kitanzania inayopotea

Kama kweli alibebwa binafsi nampongeza kwa kubebeka💪

Bangi, pombe na cocaine ni mambo yanayoua ndoto za vijana wengi sana

Swala langu tunampata wapi ili tumbebe tena aendelee kutupatia burudani???
Kipaji mile, ukisikiliza Neema, Binti Kimanzi ns Money, anaesema alibebwa hamtendei haki na bado kuna mwaka alichukua tuzo kadhaa za KTMA kwa usiku mmoja huku ukumbi ukirindima na vifijo kuashiria wamekubaliana na ushindi
 
Kwa ushindani wa nyimbo wanazotoa vijana sasa hv, nyimbo zake hazitakuwa na mvuto tena...

Akina juma nature, inspecta, qchira, chid na wakele wengine kila wakijaribu game inawakataa ...wafanye mambo mengine tu.
 
Nyimbo zake zinakubalika kwa nafasi yake
Sio lazima wote wafanane ndio wakubalike
 
Kwa ushindani wa nyimbo wanazotoa vijana sasa hv, nyimbo zake hazitakuwa na mvuto tena...

Akina juma nature, inspecta, qchira, chid na wakele wengine kila wakijaribu game inawakataa ...wafanye mambo mengine tu.
Aina ya mziki uliyokuwa ukiimbwa nyuma wakiimba sahv hazivumi
Sahv

Ova
 
Kama kweli alibebwa binafsi nampongeza kwa kubebeka💪

Bangi, pombe na cocaine ni mambo yanayoua ndoto za vijana wengi sana

Swala langu tunampata wapi ili tumbebe tena aendelee kutupatia burudani???
Bangi haina tatizo
 
Back
Top Bottom