Nenda exim bank kanunue hati fungani.Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
nunua eneo ekar 5 utapata kwa 130ml then ukata viwanga vya kutoka kimoja 5ml ha.po unapata kama viwanga 50 ndan ya miez mitano ukivipromot vizur unamaliza ni vikindu nicheki
Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
Ivi ukiweka fixed deposit,iyo interest unachukua kila mwezi au hadi matured date ya fixed deposit kama ni mwaka umeweka kwa mwaka utachukua baada ya mwaka?Mimi nimeweka hela kama hizo fixed deposit nakula kwa ulaini sana. Kwa mwaka sikosi 30m.
uwongo huo, 200 million huwezi pewa riba ya 30 million,Ivi ukiweka fixed deposit,iyo interest unachukua kila mwezi au hadi matured date ya fixed deposit kama ni mwaka umeweka kwa mwaka utachukua baada ya mwaka?
Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
Rekebisha Kwanza isomeke hiv:Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!