Mpunu.... Kuna kitu kimoja lazima ukifahamu, ukishindwa kufanya research sahihi juu ya aina ya wazo lolote, tegemea kufail kwa asilimia 95, hakuna experience inayofaa kuigwa zaidi ya ile ya kwako, kwa wengine tunajifunza tu.
Unasema kawaida sana eti biashara ya kulipa fasta fasta. Hakuna biashara ya kulipa fasta fasta duniani, there's a price for everything what u see, huyo bank mwenyewe anayekukopesha alitengeneza mfumo uliomgharimu muda, fedha, dharau, kebehi na vyote uvijuavyo still aliamini katika mfumo fulan.....
Think twice bro