2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

Mashoga mnakaszi sana
Twende kazi Konk konk
zuwena soma hapa[emoji116]
 
Vipi kuhusu wewe marinda yako yalinusurika kufumuliwa na uyo Merey Balhabou mshikaji wako wa siku nyingi sana?
 
Watoto wa Balabohou wame tutesa sana na madinga yao waliokuwa wanakuja nayo shuleni pale Forest Hill daily ni kubadilishana ndinga
 
Naongezea , Wakati ule Mzee wa msoga na Raifikiye lowasa walipiga simu kwa Merey Balhbou kuomba msaada wa kifedha kabla jina la Muungwana halijapita , Merey aliwachijia baharini na Bahati mbaya au nzuri simu haikukata Merey akaendelea na mazungumzo upande wa pili na jamaa zake akiwaponda sana Muungwana na Nywele nyeupe

Merey alikuwa kwa sumaye na Muungwana alipofika Morogoro alipokelewa na kukirimiwa vizuri sana na Prof Ishengoma aliyekuwa Mayor wa Morogoro (2005-2010) , pamoja na mkewe Mama , Dr Christina ishengoma , now mbunge wa viti maalum mkoa wa Morogoro

Kama ni mfanyabiashara nakushauri usishadadie siasa hasa za Ccm kwenye mchakato wa kuchagua Rais ,maana ambao humjua Rais ajae nchini huwa hawafiki hata 10, ni deep deep state ,

Yaliyomkuta ,Merey ,Prof Mahalu ,Mashishanga na wengineo ndio visasi vya siasa ,

Katika kundi la mashishanga alipona Daniel ole njoolay aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza , huyu alitetewa na Lowasa sababu ya umasai wake na akatpwa kuwa RC Rukwa
 
Watoto wa Balabohou wame tutesa sana na madinga yao waliokuwa wanakuja nayo shuleni pale Forest Hill daily ni kubadilishana ndinga
Acha kabisa "... palikuwa na yule dogo anayechezea moro kids . ilikuwa ni balaa "... hivi huyo barabuu sasa hivi yuko wapi !?
 
Mkuu azam united, sio ambayo ilikuwa inaitwa mbagala market? Baada ya kununuliwa ndio ikaitwa azam FC!!!
Mbagala market ya Samatta iliuzwa kwa Zamunda ndio hii inatiwa African Lyon, Azam ilianzia chini huko mpaka kupanda daraja kama alivyoeleza mchangiaji hapo juu.
 
Acha kabisa "... palikuwa na yule dogo anayechezea moro kids . ilikuwa ni balaa "... hivi huyo barabuu sasa hivi yuko wapi !?
Nahisi atakuwa nje za nchi nackia alipoona anakaribia kufilisika kwa hujuma aliiuza kila kitu km kurudi labda awamu hii
 
Nahisi atakuwa nje za nchi nackia alipoona anakaribia kufilisika kwa hujuma aliiuza kila kitu km kurudi labda awamu hii
Aisee alivuma sana enzi zake " pia niliwahi kusikia kwamba kuna deal chafu alikuwa anazipiga na tibaigana
 
Ni 2003 sio 2001. Hapakuwa na Mr. Nice masikioni mwa wabongo mwaka 2001.
 
Mkuu baro umeeleezea vizuri sana na huo ndio ukweli wa nini kilijitokeza 2005 pale Morogoro! Nakumbuka wakati Nyumba ya Merey pale Nunge karibu na JUWATA inawaka moto... yule ndugu yake Balozi alikuwa ndani analia tu... si mapot wala fire waliopokea simu za Merey!
 
Wandewa kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…