2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

Kumbe, mi nlisikia walikua wanamgombania tajiri wa chuga papaa king
 
Ila wa msoga alizidi..sema yeye ilikuwa kimya kimya pia hafatilii kwa madogo maduchu kama huyu giwe! na lile tabasam ndio likificha mengi!
 
Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari..

Nani anaukumbuka ugomvi huu?nini ilikuwa chanzo?mwenye data atiririke.
Pole mkuu, jitahidi uache
 
Kibongobongo kama unataka kuishi maisha mazur basi jitahidi usiwaguse watu!
Ni kweli! kuna watu wanajua kulea vinyongo na mabingwa wa kulipa visasi ila pía lazima ujue hata uwe mpole kiasi gani kuna siku utachokozwa tu kwa makusudi ili uingie/uingizwe kwenye ugomvi cha muhimu angalia mwenendo wako (watch your move) .
 
Huyo Babuu naye aliona sifa hiyo Mijamaa ikitandikana kwa ajili yake?
 
Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari..

Nani anaukumbuka ugomvi huu?nini ilikuwa chanzo?mwenye data atiririke.
Maandishi hayafutiki ni kama roho haifi
 
Kumbe kulipiziana ni kawaida kwenye politiksi eeh
Ni kawaida lakini wengine wanazidisha.Huyu barabuu naskia alipigiwa simu na mkwere ama mtu wa mkwere akiombwa kuchangia juhudi sasa walipomaliza kuongea na simu akijua kuwa simu imekatika akawa anatoa maneno ya shombo towards mkwere huku simu bado ikiwa iko hewani mkwere na wenzie wakawa wanasikia anayoyaropoka kuwa anasumbuasumbua na kuwa mkwere anajidanganya hatashinda kinyang'anyiro.kwakifupi alileta dharau mingimingi.
 
Fuatilia Mkuu... spoon feeding sio nzuri.... kwa ufupi tu... Moro United... ndio timu inayoongoza kuuzwa na kubatizwa jina jipya kila baada ya kipindi flani... ndio hiyo hiyo iliwahi kuitwa Kajumulo World Soccer....
Ndo Azam ya leo hii......kama sijakosea.
 
Konki x 3 master kumbuka mleta mada oil chafu huwezi kuichafua
🤣🤣[emoji3]
 
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)

Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!

Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!

Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)

Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!

Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Inamaana msoga ndio alimfilisi
 
Ndo Azam ya leo hii......kama sijakosea.
Sio kweli, azamu ilipanda daraja kwa kupitia hatua zote, na ilipanda daraja 2007.
Nakumbuka kipindi hiko Moro United iliuzwa tena kwa waarabu wa dar.na bado ilikuwa inashiriki ligi kuu.

Moro united na azam washakutana kwenye vpl tokea 2008-2012, unaweza check hii link yenye matokeo ya vpl 2009/2010 kati ya azam vs moro united
Moro United - Azam FC, Premier League 2009/2010 9/9-2009
 
Nimekusoma fresh mkuu.
 
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)

Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!

Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!

Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)

Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!

Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Duuh aisee
 
huyu konki sijui alitolea wapi
1541584808-pic.jpeg
 
Mkuu azam united, sio ambayo ilikuwa inaitwa mbagala market? Baada ya kununuliwa ndio ikaitwa azam FC!!!

Mbagala market ilikuja kuwa african lyon chini ya dewji kipindi hicho, timu ilipomshinda akaitosa akatembea. Azam fc nadhani kuna timu moja ipo uyole mbeya ikiitwa kijiweni ndiyo iliuza nafasi yake daraja la kwanza kwao ndo wakaitumia kupandia daraja. Naweza kusahishwa lakini kumbukumbu sio nzuri sana nilikuwa bado "denti" kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom