Naongezea , Wakati ule Mzee wa msoga na Raifikiye lowasa walipiga simu kwa Merey Balhbou kuomba msaada wa kifedha kabla jina la Muungwana halijapita , Merey aliwachijia baharini na Bahati mbaya au nzuri simu haikukata Merey akaendelea na mazungumzo upande wa pili na jamaa zake akiwaponda sana Muungwana na Nywele nyeupe. Merey alikuwa kwa sumaye na Muungwana alipofika Morogoro alipokelewa na kukirimiwa vizuri sana na Prof Ishengoma aliyekuwa Mayor wa Morogoro (2005-2010) , pamoja na mkewe Mama , Dr Christina ishengoma , now mbunge wa viti maalum mkoa wa Morogoro. Kama ni mfanyabiashara nakushauri usishadadie siasa hasa za Ccm kwenye mchakato wa kuchagua Rais ,maana ambao humjua Rais ajae nchini huwa hawafiki hata 10, ni deep deep state. Yaliyomkuta ,Merey ,Prof Mahalu ,Mashishanga na wengineo ndio visasi vya siasa. Katika kundi la mashishanga alipona Daniel ole njoolay aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza , huyu alitetewa na Lowasa sababu ya umasai wake na akatpwa kuwa RC Rukwa