2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

Kenya sio jirani mzuri hata kidogo bora ndugu zetu Uganda.
Nilianza kuamini kuwa Kenya sio rafiki mzuri siku ambayo yule binti wa Odinga aliposema eti Mlima Kilimanjaro upo kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…