2006 Coca-pepsi (cola) vicious trade war & corporate espionage: Secretary wa COCA-COLA alivyoiba "highly classified documents" kwenda kuwauzia PEPSI

2006 Coca-pepsi (cola) vicious trade war & corporate espionage: Secretary wa COCA-COLA alivyoiba "highly classified documents" kwenda kuwauzia PEPSI

Secretary wa Vodacom Tanzania anaenda kuuza siri za kampuni yake kwa Tigo Tanzania halafu Tigo wanakataa kununua kisha wanawajulisha police.

Don't you find this strange?
Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka huu kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena JPM.
 
Hii mbona inajulikana kitambo sana kuwa yule jamaa ndio anamiliki pande zote.
CCM oyeeeeee. Wakuu hizi maktaba alizojenga Rais Magufuli viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
 
Ukweli mchungu ukiujua lakini ndio ilivyo Coca ndio walianzisha Pepsi kwa malavi yao kibiashara a kwa salamu za kiintelligensia, Makampuni Yamaha mashushushu wa CIA ambao kiuhalisia ndio wamiliki wa hizo kampuni.
Huwezi kuwa CEO kwenye hizo kampuni kama sio mtu wao.
 
Back
Top Bottom