2006 Ulikuwa wapi

Enzi hizo za 2006 baada ya ari mpya kasi mpya nilikuwa napambana na CCM nikiwa kama mwenezi wa chama kata Jakaya analakunipa kama pongezi 😁😁😁
Tutakufikilia upat ukuu wa wilaya ata butihama au sengerema
 
Hahahah ndio natoka chuo cha utalii.
Hapo damu ya moto hatareee niko fiti kinoma yaani barobaro raha zote za dunia nazitaka.sasa hivi nimepoa ni mtu kuchek taarifa ya habari ITV na kuangalia taarifa ya hali ya hewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…