Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Saivi kadorora kama nn amakweli kila kitu kina mwishoNilikua advance, enzi hizo picha za wema sepetu kavaa bikini za miss Tanzania zilikua zinabamba bafu la shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saivi kadorora kama nn amakweli kila kitu kina mwishoNilikua advance, enzi hizo picha za wema sepetu kavaa bikini za miss Tanzania zilikua zinabamba bafu la shule
Bad kijana wasisiemuNilikuwa form2
Sema bamdogo umenitelekeza 😂😂😂Unatakiw uwe unatusalimia ma brother wako, alafu usituweke sana kusubiri mwendelezo kwenye story zako. Mimi ni baba yako mdogo kabisa. .
Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya CeltelShikamoo kaka dah nilisahau
Sawa kumbe ww ni mdingiMwanangu wa Pili wewe
[emoji1787] acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazeeNa unakuta unakula matusi na mjukuu [emoji1787]
Badala ya kunipa shikamoo eti sijamboBibi ujambo
Ndio airetel ya sasaivi 😂😂😂Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel
Ukiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wanguSawa kumbe ww ni mdingi
Bora wewe ITV ..Miè Aridhio ya TBC😌Hahahah ndio natoka chuo cha utalii.
Hapo damu ya moto hatareee niko fiti kinoma yaani barobaro raha zote za dunia nazitaka.sasa hivi nimepoa ni mtu kuchek taarifa ya habari ITV na kuangalia taarifa ya hali ya hewa tu.
Bado unanguvu unaweza kutumia chademi kama kijanaNilikuwa nipo darasa la 7 shule ya msingi Mabibo
Wanani tena mkuumsibani
🤣🤣Hapo sasa shida ndiyo inaanzia hapo[emoji1787] acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee
Naaaam... Imekuwa muda kidogo aisee 😂😂Ndio airetel ya sasaivi 😂😂😂
Umeongea kwa uchungu yakishakukuta? 😂😂[emoji1787] acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee
Shikamoo bibiBadala ya kunipa shikamoo eti sijambo
Kumbe mzee duh dingi uko vzrUkiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wangu