Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Aisee kumbe tunatukanwa na watoto wetu kabisa humu ndani. Nimesikitika sana. 2006 watu tunatafuna mbususu na kuchezea pesa ovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbususu zikawakimbia sasaivi mnaangaika na watoto wa 2006Aisee kumbe tunatukanwa na watoto wetu kabisa humu ndani. Nimesikitika sana. 2006 watu tunatafuna mbususu na kuchezea pesa ovyo.
Kwa kweli. Na sasa hivi tutoto tuna knowledge vinaweza kukudhalilisha mtu mzima. Mimi ndiyo maana sitaki ligi watoto wadogo wanaweza kukutoa pumu.Na mbususu zikawakimbia sasaivi mnaangaika na watoto wa 2006
Pambana na wakongwenwenzako 😂😂😂 tuachieni na sisi tufaidi mema ya nchiKwa kweli. Na sasa hivi tutoto tuna knowledge vinaweza kukudhalilisha mtu mzima. Mimi ndiyo maana sitaki ligi watoto wadogo wanaweza kukutoa pumu.
Kwahiyo una miaka 15 au chini ya hapo?!Wazazi wangu walikuwa hata hawajuani.
Nilikuwa kwenye kende za mzee.
Sawa baba. Nitafanya hivyo baba yanguKwahiyo una miaka 15 au chini ya hapo?!
Jaribu kuutumia muda wako vizuri.
Na form four bado hujamaliza. Unless upo nje ya nchi. Tafuta muda uwe unasoma akili yako bado changa sana. Hata humu JF jaribu kutumia muda kujifunza zaidi.Sawa baba. Nitafanya hivyo baba yangu
Mimi nipo Middle School, 11th Grade.Na form four bado hujamaliza. Unless upo nje ya nchi. Tafuta muda uwe unasoma akili yako bado changa sana. Hata humu JF jaribu kutumia muda kujifunza zaidi.
Mleta mada mwenyewe sidhani kama amemaliza form four.
Jaribuni kutumia muda mwingi kujifunza zaidi. Maana humu hakuna baba wala mama.
😂😂😂 tujifunze nini?Na form four bado hujamaliza. Unless upo nje ya nchi. Tafuta muda uwe unasoma akili yako bado changa sana. Hata humu JF jaribu kutumia muda kujifunza zaidi.
Mleta mada mwenyewe sidhani kama amemaliza form four.
Jaribuni kutumia muda mwingi kujifunza zaidi. Maana humu hakuna baba wala mama.
Vizuri asKariakoo to Jetlumo Konda Daladala
Kibailojia, ni Chini ya nusu yako tu ndio ilikuwa kwenye kende za huyo mzee. Ila sehemu kubwa iliobaki ambayo ni zaidi ya nusu ilikuwa kwenye nyonga ya bimkubwa wako!Wazazi wangu walikuwa hata hawajuani.
Nilikuwa kwenye kende za mzee.
Una miaka 27 kushuka chini labda kama ulikariri madarasaDarasa la 5 aisee
😂😂😂 ila watu dah mnana kauliKibailojia, ni Chini ya nusu yako tu ndio ilikuwa kwenye kende za huyo mzee. Ila sehemu kubwa iliobaki ambayo ni zaidi ya nusu ilikuwa kwenye nyonga ya bimkubwa wako!
Kikazi au?Ndio nashangaa Jiji la dsm
Ulipotea wapi mchumbaNdio nashangaa Jiji la dsm
😂😂😂😂 wazee wa ovyoo hai et mbususu2006? Dah...topaz zishachakaza videvu, mbususu tushazila na kushikashika pesa! Kweli tupo na watoto wetu humu.
Kaz maalumu ya kuwala hela vibabuKikazi au?