marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Fundi wa mchongo fundi maskinimimi km fundi nakwambia chukua BMW haitokusumbua sana kupeleka garage mara kwa mara.
Fambaf sana wewe, nimecheka hatari🤣🤣
Picha pichaKama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
Hiyo BMW 320i kwa mwaka huo 2010 ina N43 engine.mimi km fundi nakwambia chukua BMW haitokusumbua sana kupeleka garage mara kwa mara.
Hiyo BMW 320i kwa mwaka huo 2010 ina N43 engine.mimi km fundi nakwambia chukua BMW haitokusumbua sana kupeleka garage mara kwa mara.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
Bro kwani Toyota tunazotumia huku ni za miaka ipi? Kwa taarifa yako za 2008-2010 huku kwetu ndio tunaita ‘ new model’ hahahahahahDuh, gari ya mwaka 2010 ina maana ina miaka 12? Hakuna gari hapo, kwa nini usichukuwe hiyo pesa na nunua gari hata ya chini ya miaka 5 siyo lazima iwe Bimmer au Mercedes, …
Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidiBro number’s don’t lie
Go for Mercie
Good Fuel economy,performance ni ya kawaida kiukweli japo ina top 260km/hr labda usichukue hizi cc1780
Comfotability inategemea una compare na gari ipi lkn haiifiki kwa gari kama crown.
All in all you buy mercides you buy pride
Kila utapoonekana wanajua una pesa[emoji28]
Maintenance ni expensive kiasi
Hizi C200 kompressor hazina magonjwa mengi ndo maana hutasikia kelele humu za wamiliki wa Benz
Ni gari reliable sana na ngumu mno.umeme kiasi
ONYO:kama hukai mjini kene barabara na mafundi wa uhakika achana nayo mkuu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
Hapo sasa unamuambia atoke kwenye C200 kijanja.performance ni ya kawaida kiukweli japo ina top 260km/hr labda usichukue hizi cc1780
Duh, gari ya mwaka 2010 ina maana ina miaka 12? Hakuna gari hapo, kwa nini usichukuwe hiyo pesa na nunua gari hata ya chini ya miaka 5 siyo lazima iwe Bimmer au Mercedes, …
Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
Hivi unajua bei za gari za kuanzia 2015 sio watu wengi wanaweza kumudu. Unashangaa gari ya 2010?? Hiyo kwa huku bado kabisa. Bei huathiri maaamuzi ya watu wengi sana hasa hizi nchi zetu. Pengine tujikite kumshauri kati ya hizo gari mbili achujue ipi
Bro kwani Toyota tunazotumia huku ni za miaka ipi? Kwa taarifa yako za 2008-2010 huku kwetu ndio tunaita ‘ new model’ hahahahahah