Crown royal na mark x zina smooth and comfortable riding kwa sababu ya kuwa V6 Engine ambayo ina CC kubwa kulinganisha na uzito wa gari hivyo engine haisumbuki sana kusukuma gari hata kwenye mlima mkali. Crown athlete na mark x sport hazina comfortable riding kwa sababu suspension zake ni stiff kwa ajili ya kuwa na stability control hasa kwenye kona kali, rapid braking na kufanya drifting.
Mercedes benz na bmw zilizo chini ya cc3000 hazina comfort ride licha ya kuwa reliable. Utasikia muunguruma wa engine kwenye gas pedal hasa unapolazimisha gari ku-pick up maxim speed haraka wakati horse power yake iko chini. Kiufupi bmw na Mercedes zenye comfortable riding ni zile zenye engine kubwa ambazo baadhi yetu hatuwezi kuzimiliki.
Utofauti wa hizi bmw na Mercedes za kawaida ni kwamba zimetengenezwa kwa expensive parts compared to crown and mark x.