Dah kweli Maradona aliona hilo ngoja J3 unaweza kusika KAKA nae amepata jeraha la goti akosa mechi za WC mwaka huu mikosi tu...France mwaka Huu wachovu kweli...Hivi Algeria mbona wapo kimya hawana Friendly Match!!?
No Gaucho
No football
nimeanza kuangalia WC 1986,1990,1998 zote hizo DINHO hakuwepo na zote zilikuwa WC nzuri sana,DINHO kaanza WC 2002 then 2006 he was great and joy to watch.
now 2010 unfortunately hatakuwepo lakini naamini yatakuwa mashindano mazuri tu,kuna wachezaji wengi wazuri,vilevile NO PLAYER IS BIGGER THAN THE TEAM LET ALONE BRAZILIAN NATIONAL TEAM.
ONE PLAYER DOESNT MAKE OR BREAK WORLD CUP FINALS.
LUIS NANI nae out WC
In Gaucho
JF we trust...
Source..ESPNSoccernet.Journalists robbed at gunpoint
June 9, 2010
By Soccernet staff
Three foreign World Cup journalists were robbed at gunpoint early on Wednesday morning, according to South African police.
Portuguese photographer Antonio Simoes was woken at 04.00 BST by two men entering his room at the Nutbush Boma Lodge outside of Magaliesburg and two other reporters were also robbed at the same hotel.
"One of the guys pointed a hand gun at my head, and then they took all my gear - cameras, lenses, laptop," Simoes said. "Then they told me to lie on the bed and they covered me with a blanket, pressed the gun against my head and told me to sleep.
"The whole thing took one or two minutes, but it felt like hours."
Police spokesman Hangwani Mulaudzi said the authorities had good leads and hoped to make an arrest soon but added that the lodge where the journalists were staying would have to "jack up" its security.
The other victims, a Spaniard and Portuguese journalist Antonio Fimoes, also escaped their ordeal unhurt.
Fimoes said: "I was the only one to wake up when the robbers came into the room. One of them had a pistol and pointed it at my head and told me to shut up while the other one rummaged through our things. They got away with some money, passports, photographic material and clothing."
About 350,000 people are expected to visit South Africa, which has have enlisted thousands of specially trained police to deal with fans' safety.
Mie wasiwasi wangu ni pale Wasauz watakapotupwa nje ya mchuano..Vurugu sijajua itakuwejeHaya Matukio kwa nchi ya South Africa kukosekana litakuwa jambo la ajabu sana..Huo ni mwanzo tu..Hope to hear and read more from different camps in SA...Vitendea kazi vyote wamekula watoto wakihuni!
Duh wakitolewa mapema sauzi kwa kweli patakuwa padogo kwa matukio.Nadhan marefa watafanya kazi ya ziada kuanzia kesho ili japo mwenyeji aweze kusonga japo kwenye second round..Leo JZ kawatia moyo anataka akibeba kombe awakabidhi wao ngoja tuone kesho refa kama hatakuwa wa msaada kwa upande wa mwenyejiMie wasiwasi wangu ni pale Wasauz watakapotupwa nje ya mchuano..Vurugu sijajua itakuweje
mkuu wakati umefika ku-give up na Gaucho.unamuona huko kwenye tour usa anachokifanya? sometimes naona Dunga made a tough right decision.