Ngoja tuzivutie kasi,wazee wa kukurupuka wakianza kuzikimbia watatuuzia hadi kwa m 8 😀Na zinauzwa sana na wadau full kuzikimbia sijui hawakujua subaru ni nini.
Napendelea SG5/SG9
Kaulizie bei upya.hicho kiasi ulichokiandika ni bei ya kodi pekee,bado cif
HahahahaHizi gari naona watu wakitumia mwezi tu wanauza, je zina shida gani?
20Mill unaweza kuwa nalo mkononiKaulizie bei upya.hicho kiasi ulichokiandika ni bei ya kodi pekee,bado cif
Ngoja tuzivutie kasi,wazee wa kukurupuka wakianza kuzikimbia watatuuzia hadi kwa m 8 [emoji3]
Subira yavuta heri mkuu 😀Hahah vuta subira kidogo tu mkuu,soon utazikamata kwa bei rahisi saaana.
Ngoja nisubiri jibu hapa kwa wayajuayo..Hizi gari naona watu wakitumia mwezi tu wanauza, je zina shida gani?
Subira yavuta heri mkuu [emoji3]
Ngoja nisubiri jibu hapa kwa wayajuayo..
Acha uongo weweKaulizie bei upya.hicho kiasi ulichokiandika ni bei ya kodi pekee,bado cif
Acha uongo wewe
Mkuu hiyo sio hizi zilizozagaa mtaani,mtaani zimejaa SH5, zenye ushuru usiozidi 8M
Hio Sibaru sio SH9 imekosea kujaza taarifa