gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Naona! sana upepo umeziangukia gari hizi! SUBARU FORESTER- Hizi gari nyingi ni za mwaka 2010, lakini hapa mjini now ndio zinaingia sana!
Actually kwa wale wenye plan za kununua magari recently sio mbaya sina hizi gari:
1-Engine capacity ni 2000cc - sio mbaya kwa matumizi binafsi
2- Zinatumia sana Petrol
3. Ndani pia muonekano wake sio mbaya- inaspace kubwa na inatosha
4- Speed ni balaa zimefika 240km/hr
5- Mostly ni Automatic
6- Price range ukiagiza unaweza pata from 16mil na kuendelea.