2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

Joined
Jan 20, 2026
Posts
84
Reaction score
137
Mafanikio mengi ya Subaru yametokana na ujuzi wake wa kukidhi mahitaji ya vikundi maalum -- na vilivyojitolea sana -- vya wanunuzi wa magari. Miundo kama vile Outback kwa kawaida imekuwa ikilenga watu wanaotaka kitu cha kistaarabu cha kutosha kwa usafiri wa kawaida wa mijini, lakini ni iwe gari ngumu pia iweze kutumika bila shika kwenye barabara mbovu na lami, wakati sedan za michezo kama WRX zilikusudiwa kwa wapenzi wa magari haswa ya mbio. Hivi majuzi, chapa hiyo imekuwa ikifanya bidii kutoa magari ambayo yanavutia hadhira zaidi.

Wapenzi wa crossover kama kawaida wanapata burudani yao ile ile na 2011 Subaru Forester SHJ. Kuna nafasi ya kutosha ndani sura ya kuvutia sambamba na watu kukaa ndani bila bugudha ; Uwezo wake wa kubeba mzigo wa kutosha ni kati ya sifa yake kubwa zaidi huku ikikupa raha na burudani safarini.​



2011_subaru_forester_.jpg


2011 SUBARU FORESTER SHJ! Bei yake ikiwa utaagiza na @morning_joy_motors huwa ni TZS 26.7M Bei ikiwa imejumuisha pamoja na usajili!
Na ukilipia kiasi cha TZS 13.8MIL TU, UTAAGIZIWA GARI YAKO NA KIASI KILICHOBAKIA UTAMALIZIA NDANI YA MUDA WA MIEZI HATA 36
Delivery Time baada ya malipo ni ndani ya siku 45 - 60 MAXIMUM HADI GARI KUWA MIKONON MWAKO
​


Vipengele muhimu vya 2011 Subaru Forester (SHJ)


1. Utendaji wake kazi & Utunzaji:


Hizi SH series nazo kikawaida zina body gumu zaidi na '' lower center of gravity'' yaani zina mwili na sura ya kigumu ( ya kazi ) ukilinganisha na matoleo yaliyopita, kuboresha utunzaji. Inajulikana kwa ubora wake wa uwezo kwenye mfumo wa , all-wheel-drive.



2. Ufanisi wa Engine & Utumiaji Mafuta :
2011_subaru_forester_engine.jpg


2.0L petrol engine inakupa huukupa matumizi mazuri ya mafuta zaidi ukilinganisha na model zilizopita, huku baadhi ya watumiaji wakidai kutumia mafuta ya TZS 24,000/= kutembea hadi kwa kilometa mia moja, huku zinazotumia diesel zikiwa na ufanisi zaidi kwenye utumiaji wa mafuta kwa kutumia kiwango kidogo zaidi cha mafuta ukilinganisha na hii petrol!


3 .Interior & Practicality : interior yake ni pana zaidi , ikiwa imeboreshwa legroom na headroom, pia ikiongezwa, boot kubwa pamoja na siti za kuweza kukunjwa, na kwa model zingine zinakua na boot ya kufunguka na kujifunga yenyewe.




shj-interior.jpg






CC272240_25.jpg
CC272240_26.jpg
CC272240_27.jpg




CC272240_28.jpg


4. Usalama : Hii gari inapokuja suala la usalama haiko nyuma sana kama ilivyo zingine , inakuja ikiwa na airbags sita, stability control, na, kwenye higher spec models, pamoja na driver assist system! Hata wewe mdau siumeipenda eeh!?

Naam, sasa mara baada ya kuona kuhusiana na uzuri wake tujikumbusha neno lile la wahenga kwamba hakuna kizuri siicho na kasoro. Sasa hebu tutazame kasoro zake pia na vitu ambavyo unapaswa uwe tayari kukumbana navyo.



Changamoto za kawaida ambazo ndio udhaifu mkubwa wa 2013 Subaru Forester SHJ na namna ya kuzitatua
​

1. Inakula sana oil kupiata kawaida : kama ilivyo kwenye SJG , SHJ nayo pia vile vile inachangamoto moja ya kula sana oil..

Solution : Hakikisha unakagua mara kwa mara kiwango chako cha engine oil kuepuka kuharibu engine, na iwapo utakuta imepungua jitahidi kuongeza.
2011_subaru_forester_engine.jpg



2. CVT Transmission Issues : Tatizo jingine kubwa la hii gari ni kwenye upande wa CVT transmission na dalili zake huwa pamoja na kutetemeka, kusitasita, au kuruka gears. Hizi ni dalili zake ambazo unapaswa kuwa nazo makini sana na kabla ya gearbox yako kufa, hivyo ni muhimu kuwa makini na kuiwahi.

Solution : Hakikisha unafunga kwenye CVT cooler, epuka kuiendesha kwa fujo
(Mambio mbio yasiyona sababu maana hii ni mayai sio ya mbio), na hakikisha unafanya ' proper maintenance' kwa kutumia specific CVT fluids. .


3. Kuvuja kwa Engine Oil : Tofauti na SJG , hii SHJ yenyewe oil huanza kuvujishwa kutokea kwenye camshaft au crankshaft mara nyingi,.

Solution : Mara kwa mara hakikisha unakagua engine bay na kubadili seals..

Kelele za susnpession za nyuma ama kufeli : Unaweza kuhisi kelele kama za kutetemeka kutokea kwenye sunspentio zako za nyuma, tatizo ambalo linaweza kuashiria kwamba bush zilizochakaa au , au wakati mwingine ikimaanisha spring za nyuma zilizokatika..

Solution : Hakikisha unakagua na kubadilisha bush za gari yako au struts.
.
Kuvuja kwa Engine Oil : Tofauti na SJG , hii SHJ yenyewe oil huanza kuvujishwa kutokea kwenye camshaft au crankshaft mara nyingi,.

Solution : Mara kwa mara hakikisha unakagua engine bay na kubadili seals..


Na hiyo ndiyo 2011 SUBARU FORESTER SHJ
Ukiweza kufuata masharti haya ya utunzaji wala haiwezi kukusumbu

================================================================================================


Karibu Morning Joy Motors.


KUHUSU MORNING JOY MOTORS

Morning Joy Motors tunajihusha zaidi na ushauri, uelimishaji pamoja na uagizaji wa magari kwa muda wa zaidi ya miaka mitano hadi sasa.
Tunabeba dhamana kubwa ya ubora wa gari ambayo unaweza kuagiza kwetu kutokana na uzoefu wetu pamoja na ushirika wetu mzuri na wataalamu magari huko nje ambao kabla ya kuilipia gari ni lazima waifuate na kwenda kuikagua kwenye kila eneo kisha ndio kutupatia report ya kuendelea na utaratibu wa kuiagiza au la.

GUARANTEE : Tunakuhakikishia ubora, na usalama wa hali ya juu sana!
Na ikiwa sisi ndio tutakuchagulia gari na kisha ikakuletea shida, kwakua tumebeba dhamana ya ubora wa gari yako
UTAIRUDISHA KWETU , NA UTAREJESHEWA FEDHA YAKO 100% PAMOJA NA FIDIA!

Hii ni kwasababu TUNAAMINI UBORA na UHAKIKA wa TUNACHOKIAGIZA na ndio maana TUNAJIAMINI na KUKUPA AHADI HII na HAITOKUA KWA MANENO TU BALI KWA VITENDO na MAANDISHI YA KISHERIA KABISA


KARIBUNI SANA


================================================================================================

TUPO MKOA WA ARUSHA
KALOLENI KWENYE JENGO LA ARUSHA CONDO HOTEL
LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH
OFFICE NUMBER 016
GROUND FLOOR
SIMU : 0797113153 / WHATSAPP & NORMAL

================================================================================================

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP
KWA ELIMU MBALIMBALI KUHUSIANA NA MAGARI PAMOJA NA UAGIZAJI
ANDIKA NENO '' MAGARI '' KWENYE WHATSAPP NUMBER 0797113153

Follow us on Instagram : @morning_joy_motors
follow us on facebook ; Morning Joy. Limited
 
Mwaka huu ni 2026 na mtu anasifia gari la mwaka 2011. (2026-2011=15) yaani kijana aliyezaliwa wakati gari likitengenezwa sasa naye anazaa! Hii kitu inanyinyima raha. Morning Joy Motors kuweni na huruma
Mkuu unakosa raha kwanini, ww nunua za mwaka 2020 sisi wa lala hoi tutanunua hizo za 2011 kwani tatizo liko wapi sheikh. And still watu wanaagiza ist za 2004 hujiulizi🥱
 
Nauliza jamani

Propeller ya mbele ya S kubwa bei gani?
 
Back
Top Bottom