2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Kama star times inakamata UBC ni television ya Uganda utaona maelezo ya hiyo mechi na wataonyesha,au kuna kituo cha television ya Zambia kinaitwa tv2 sina uhakika kama zinakamata startimes.Jaribu na KBC ya Kenya

mku asante! Lakn taneescoo
 
Hali ya uwanja sio ya kuridhisha kabisa,
maji bado yapo.
 
Goal!
Ousman scores for Libya...
What a finish.
Libya 1 - 0 Zambia
 
hapo hakuna mpira hapo....
Hakuna mvuto wa game na mimaji yote hiyo..
 
Zambia dressed in Orange shirts an green shorts...
Libya in all white, driving from left to right side of the pitch.
 
Zambian attack,
Kalaba shoots, he's on target, but the keeper catch it.
 
Libya wadini sana...
Hadi kwenye kushangilia goli?
 
Hii game imepoteza mvuto kutokana na hali ya uwanja. Kuna sehemu ya uwanja ina dimbwi la maji.
 
Albousaifi comes in for Libya...
Kathroushi goes off due to injury...
 
Back
Top Bottom