Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Hii game imepoteza mvuto kutokana na hali ya uwanja. Kuna sehemu ya uwanja ina dimbwi la maji.
nadhani half time itabidi waje kutoa tena maji uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game imepoteza mvuto kutokana na hali ya uwanja. Kuna sehemu ya uwanja ina dimbwi la maji.
Hii kadi kaonewa kabisa. There was no handball at allHandball against Mayuka...
And ref reaches his pocket, booked.
Zambia have equlized
1 - 1
Mayuka scores
what a reply from Kalaba's crossball.
Libya 1 - 1 Zambia
Hii kadi kaonewa kabisa. There was no handball at all
huyu sunzu wa zambia ndo yule wa simba au?
naomna wamewatanguliza kwa baiskeli ya miti nini..