hahahaha.....kumbeee..
Yani kama yule mwarabu aliyemnunulia mkuli sarawili na jambakoti??
Basi mi simuwezi Rejao....duh!!
Kama star times inakamata UBC ni television ya Uganda utaona maelezo ya hiyo mechi na wataonyesha,au kuna kituo cha television ya Zambia kinaitwa tv2 sina uhakika kama zinakamata startimes.Jaribu na KBC ya Kenya
Wamekubali kufungwa mapema sana...but game ipo 50 - 50Goal!
Ousman scores for Libya...
What a finish.
Libya 1 - 0 Zambia
kimenuka.
Goli safi kabisa....
Wamekubali kufungwa mapema sana...but game ipo 50 - 50